Warithi wa Ole Gunnar waanza kutajwa Manchester United

Warithi wa Ole Gunnar waanza kutajwa Manchester United

Timu yangu kwa sasa inasikitisha, yaan hata ukienda kibanda umiza unapewa tv ya chogo kwamba hatuna mvuto tena
Hapo timu apewe tuchel au Pochettino
Wadau, pamoja na UBOVU wa Ole, lakini tatizo ni Uongozi/Matajiri wa hiyo timu. Toka Moyes, mpaka huyu, Ole, tumeshaona machaguo yao ya wachezaji. Lakini watoa fedha, hawatoi ili hayo machaguo yapatikane.
Kuna lundo la wachezaji ambao hawastahili kabisa kuichezea hiyo timu. Lakini kutokana na ubahili huo, inabidi waendelee kuwepo. Wiki iliyopita, nimesikitika sana kusikia eti Manutd inayo furaha kutangaza kuwa, imefanikiwa kuongeza mkataba na Lingard!
Hivyo, hata aje MPISHI mzuri kweli, kwa kupewa MABOGA, MAGIMBI, VIAZI, MAHARAGE, tusitegemee kula Biriani na Pilau hata siku moja!
jambo lolote likifikia climax lazima litashuka tu, hapo hata ateuliwe nani haiwezi kukaa sawa it will take some years!
 
Back
Top Bottom