Warranty Vs Guarantee

Warranty Vs Guarantee

Joined
Nov 22, 2017
Posts
22
Reaction score
11
Habari za wakati huu wanajamvi,,
Ngoja niende kwenye point yangu
.
.
NAOMBA MSAADA WA KISHERIA NA TOFAUTI KATI YA WARRANTY NA GUARANTEE (za manunuzi)
 
Guarantee kisheria ni kuhakikishiwa juu hali ya bidhaa uliyoinunua kua ni bora na original na endapo itazingua basi utapewa favor flani, so hii ni formal assurance that certain condition will be satsfied.

Warranty, ni legal document ambayo inaonesha ahadi ya kufanya jambo flani kwenye bidhaa flani endapo itapatwa na jambo flani tofauti ndani ya muda flani uliopangwa na mtoa bidhaa.

Tofauti zao zipo kwenye makubaliano na muda, guarantee hua na makubaliano ya bidhaa kurudishwa endapo mtumiaji akikuta bidhaa fake sio, ila warranty inapimwa ndani ya muda flani endapo ukipita ndo basi tena hakuna lolote utakalo lipwa au kupewa.
 
Na mimi naulizia humu humu, siendi google!
Samahani mleta uzi.
Tofauti ya STREET, AVENUE, na CLOSE.
kuna hii unapita mitaani alafu unakuta vibao, XYZ STREET, XYZ AVENUE, XYZ CLOSE.
Nini tofauti ya haya maneno??
 
Asante sana mkuu 666 chata apo umenielewesha kumbe zote zinakuwa na muda wa ukomo ila tuu moja utabadilishiwa na nyingine matengenezo.. Nimekuelewa kiongozi[emoji120]
 
Na mimi naulizia humu humu, siendi google!
Samahani mleta uzi.
Tofauti ya STREET, AVENUE, na CLOSE.
kuna hii unapita mitaani alafu unakuta vibao, XYZ STREET, XYZ AVENUE, XYZ CLOSE.
Nini tofauti ya haya maneno??
Ngoj tusubiri majibu ya wanajamvi m mwenyew niko kapa apo
 
Back
Top Bottom