Guarantee kisheria ni kuhakikishiwa juu hali ya bidhaa uliyoinunua kua ni bora na original na endapo itazingua basi utapewa favor flani, so hii ni formal assurance that certain condition will be satsfied.
Warranty, ni legal document ambayo inaonesha ahadi ya kufanya jambo flani kwenye bidhaa flani endapo itapatwa na jambo flani tofauti ndani ya muda flani uliopangwa na mtoa bidhaa.
Tofauti zao zipo kwenye makubaliano na muda, guarantee hua na makubaliano ya bidhaa kurudishwa endapo mtumiaji akikuta bidhaa fake sio, ila warranty inapimwa ndani ya muda flani endapo ukipita ndo basi tena hakuna lolote utakalo lipwa au kupewa.