Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahshshWe kweli mmbea
Kutongozwa tu unatangaza
Ova
😂😂😂😂We kweli mmbea
Kutongozwa tu unatangaza
Ova
Mambo! Hii komenti imenivutia! Ww km ni mkaka jua nishakuzimikia hapa! Zaidi ya warumi alivyopendwa huko pm! Mie hapa hapa tuyajenge!Pm's ziwakuwaje exposed?..kila aliyetongozwa humu JF akiweka screenshot patatosha kweli humu
hahaha yani kuna mtu kakupenda kabisa wewe ,kesho katoe sadaka kanisaniJamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia🤣🤣, nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba🤣🤣.
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi 🤣View attachment 1085676
Jamaa ako kachana mkeka jana😂😂😂😂
Usikute aliyekutongoza ivyo ni chizi mwenzioJamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia[emoji1787][emoji1787], nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba[emoji1787][emoji1787].
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi [emoji1787]View attachment 1085676
Iyo pm imenidhalilisha Sana nikiwa Kama mwanamume. By the way inaonekana umekuwa excited Sana kutpngozwa pm maana ilikuwa Haina haja ya huko kuyaleta huku. Hivi wanawake wote wa JF wangeleta ya pm hadharani inhekuwaje?
Wewe umetongozwa au nimekuelewa vibaya?Pm's ziwakuwaje exposed?..kila aliyetongozwa humu JF akiweka screenshot patatosha kweli humu
Daaaah. Kashindwa kuokota embe kwenye mnazi, leo ubashiri unaendaje ?Acha tu
Tena dakika za mapema kabisa
3-1 leoDaaaah. Kashindwa kuokota embe kwenye mnazi, leo ubashiri unaendaje ?
Liver anakufa,3-1 leo
Liver anakufa,
Duh nimecheka mpka machozi asee!Jamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia[emoji1787][emoji1787], nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba[emoji1787][emoji1787].
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi [emoji1787]View attachment 1085676