Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanipenda na umbea wangu huu huu, anatak niwe nampa umbea usiku🤣🤣, patakalika kweli sasa
Ah we hufai kwa style hii hapanaSiri ninazo, nitongozeni tu jaman , nisije kukosa madanga bure mujini
Sawa, tusubiri bado dakika chache tu.Nahisi kama itakuwa hivyo
Kama kajishtukia fulani[emoji23]Ebu saidia kuuliza maana kapanick[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu akubali Barca washinde maana nimewawekea laki 2 yangu isije ikaenda na maji3-1 leo
Malaya katongozwa.Pm's ziwakuwaje exposed?..kila aliyetongozwa humu JF akiweka screenshot patatosha kweli humu
Mungu akubali Barca washinde maana nimewawekea laki 2 yangu isije ikaenda na maji
Potelea mbali siamini liver kushindaUna hatari sana ujue
We acha tu ndio Mana sijawahi kutongoza humu. Kwanza namtongozaje mtu ambae sijawahi kumuona. Yaani unaimgine mtu alivo kuptia avatar[emoji39]Umejuaje warumi ni mwanamke?
Mtakuja kutongoza vidume wenzenu humu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Malaya katongozwa.
Maskini akipata mat.a.k.o hulia mbwata.
Kutongoza ovyo ovyo tutakuja kutongoza hadi vicha kwa kweli.
Potelea mbali siamini liver kushinda
Tusubiri tu mda ufikeMh!liver nao wamoto lakini
Ha ha ha wewe ni kichaa mchambaji team Zari.Wanazengo katika siku mliyonipa raha , Leo mmejua kunichekesha na Mimi , yan mbavu sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwa hyo jaman Mimi ni kichaa[emoji1787][emoji1787]
Warumi mtoto mzur njoo pmJamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia🤣🤣, nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba🤣🤣.
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi 🤣View attachment 1085676