Nimeomba msaada kwa wahusika naona kimya, inabid nichukue likizo fupi kutoa thread maana hadi pozi nimeishiwa binamu
HATUA ZA KUCHUKUA
1)Fika ofisini kwao hapo bamaga na mjaribu kuzungumza
2)Hiyo ya kwanza ikishindikana anzisha Kisanga kama Wema Lazma watakuelewa tu ndugu warumi.
Last edited by a moderator: