WARUMI: Global Publisher kwa hili tena hapana hamtendi haki

WARUMI: Global Publisher kwa hili tena hapana hamtendi haki

Nimeomba msaada kwa wahusika naona kimya, inabid nichukue likizo fupi kutoa thread maana hadi pozi nimeishiwa binamu

HATUA ZA KUCHUKUA
1)Fika ofisini kwao hapo bamaga na mjaribu kuzungumza
2)Hiyo ya kwanza ikishindikana anzisha Kisanga kama Wema Lazma watakuelewa tu ndugu warumi.
 
Last edited by a moderator:
HATUA ZA KUCHUKUA
1)Fika ofisini kwao hapo bamaga na mjaribu kuzungumza
2)Hiyo ya kwanza ikishindikana anzisha Kisanga kama Wema Lazma watakuelewa tu ndugu warumi.

Nop siwezi kwenda uko without knowing sheria za humu kwanza bro, unataka nipigwe picha kama wema? Global panatisha pale ooh, hawachelewi. Nitasubiri ushauri wa humu nione inakuwaje au nitaacha kutoa habari nyeti instead nita copy uko global na Ku paste humu.
 
Last edited by a moderator:
warumi achana naooo banaaas we tupe vitu vitamu vitamu banaaa
 
Last edited by a moderator:
this dude ananitafuta toka Jana bro , simuelewi what anataka kutoka kwangu, he is so stubborn n disgusting

Achana naee kwan nae kalazimishwa kucomment humuu si aende jukwaa lingine atuachie sisi humu
 
we ni mpuuzi sana yani unalazimisha kitu ambacho akikusaidii chochote mwenzako shigongo anatengeneza pesa we unasugua miguu mtaani kiupashikuna dume kusaka umbea ili ulete habari usifiwe na malaaya wa jf

Inaelekea unajuana na malara wenzio wa jf?!! Kweli kuna watu na viatu,wasiojua kuwa busara haiuzwi!!
 
Nawe ukipata hizo hela toka global ukawalipe hao mastaa uliouza habari zao.
Unalalamika na umbea wako hapa,mwanaume na pumb.u zako umekalia umbea tu.
Na ukienda bamaga utapgwa picha then wadau wakujue dume lenye tabia za kike.

Mazafanta
 
hivi warumi ni me au ke
 
jamaa mbona toka miaka hiyo wanakomba habari humu punguza jaziba usipende mkwanja kiasi hiko au kama vipi anzishisha nawewe kijigazeti chako mzee kama unaweza kuwazungukia mastar nakupata habari basi ingia chimbo huo mkwanja ambao una survive kupata hizo habari tumia kuunda kampuni yako nadhani hapo sasa utayala matunda yako au kama vipi nunua ukurasa kiu au sani uweunaweka nawewe usisahau chanzo chako IG uwatafute kina dog na ukwelinauwazi uwalipe
 
It sounds good, hayo mambo ya kina dog na ukweli waachie wenyewe they have nothing to do with me mkuu, at least u have said something.nitafanyia kazi ushauri wako.
 
hivi warumi ni me au ke

Hata ningekuwa shoga sidhani kama inakuhusu, sema unachotaka kuongea au mnaona raha ninavyo wa quote? At least na wewe ujulikane? Ongea kilichokuleta huwezi chapa mwendo sijaita mtu humu
 
me mwenye tabia zote za kike,tena wale wa uswazi.

Duh watoto wa kiume mnashobo kuliko ata akina Dinazarde , mnajisikia raha kuingia kwenye thread zangu eeh? Anzisheni zenu na nyie tuone basi , sio mnachonga kama wajawazito
 
Last edited by a moderator:
Alafu hata yeye hii habari aliitoa Instagram maajabu anadai ana haki nayo kwani GPL hawawezi kuwa copy hao vilaza wenzie wa IG?naona wanashindania umaarufu kunuka na mbeba pochi wa Platnum,!mwambieni atafute issue ya maana apige mkwanja utampa umaarufu sio hii
 
Hata ningekuwa shoga sidhani kama inakuhusu, sema unachotaka kuongea au mnaona raha ninavyo wa quote? At least na wewe ujulikane? Ongea kilichokuleta huwezi chapa mwendo sijaita mtu humu

mkuu. kwani hili jukwaa ni mali yako?
 
funk.gif
funk.gif
151682.gif
elephant.gif
 
Back
Top Bottom