Nimeomba msaada kwa wahusika naona kimya, inabid nichukue likizo fupi kutoa thread maana hadi pozi nimeishiwa binamu
HATUA ZA KUCHUKUA
1)Fika ofisini kwao hapo bamaga na mjaribu kuzungumza
2)Hiyo ya kwanza ikishindikana anzisha Kisanga kama Wema Lazma watakuelewa tu ndugu warumi.
this dude ananitafuta toka Jana bro , simuelewi what anataka kutoka kwangu, he is so stubborn n disgusting
Umeongea ukweli mtupu ingawa ngumu kumesa
Nawe ukipata hizo hela toka global ukawalipe hao mastaa uliouza habari zao.
Unalalamika na umbea wako hapa,mwanaume na pumb.u zako umekalia umbea tu.
Na ukienda bamaga utapgwa picha then wadau wakujue dume lenye tabia za kike.
Mazafanta
hivi warumi ni me au ke
jamaa mbona toka miaka hiyo wanakomba habari humu punguza jaziba usipende mkwanja kiasi hiko au kama vipi anzishisha nawewe kijigazeti chako mzee kama unaweza kuwazungukia mastar nakupata habari basi ingia chimbo huo mkwanja ambao una survive kupata hizo habari tumia kuunda kampuni yako nadhani hapo sasa utayala matunda yako au kama vipi nunua ukurasa kiu au sani uweunaweka nawewe usisahau chanzo chako IG uwatafute kina dog na ukwelinauwazi uwalipe
Hata ningekuwa shoga sidhani kama inakuhusu, sema unachotaka kuongea au mnaona raha ninavyo wa quote? At least na wewe ujulikane? Ongea kilichokuleta huwezi chapa mwendo sijaita mtu humu
Ban tayari I knew this will happen