warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yaani umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako Warumi nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly, I’m loving this new couple ya mjini, Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya P-Funk Majani