Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Hivi hizo habari za watu huwa mnazijuaje?

Au huwa hamzijui bali huwa mnasadiki lakini hamjui tofauti kati ya kujua na kusadiki?
 
Namimi nikipata pesa kama Fred Vunjabei sijui ntampata nani, labda Wastara

Mwache was Tara was watu , mxieew wanaume hamnaga hat aibu , dada wa Watu na ulemavu wake bado tu mnataka kwenda kumdanga mxieew
 
Hatari sana, yani imekuwa je hawa msstar walioshindikana kitabia kuzaa au mimba ziligoma kutoka?
Hafu huyo tunda si alikuwa anatoka na Whozu na Whozu si rafiki na vunjabei?
 
Ila Tunda mbona nasikia hana mimba ni kiki tu.

Daah majani Kweli, kaangukia pua ila ndege hufananao huruka pamoja
 
Kwakweli kama ni kweli Majani ndiye mwenye mimba ya Umber lulu basi hakika kichwani atakuwa amepata hitirafu kidogo duuuu.... yani majani amelivaa hilo lidangaji aisee dunia haina huruma ...na kama ni kweli P funk ajiandae kusumbuli hadi atajuta kuloweka kwenye hiyo papuchi..... aisee hata siamini
 
Majan ana nini?ana tabia nzuri mno au?
 
Kwakweli kama ni kweli Majani ndiye mwenye mimba ya Umber lulu basi hakika kichwani atakuwa amepata hitirafu kidogo duuuu.... yani majani amelivaa hilo lidangaji aisee dunia haina huruma ...na kama ni kweli P funk ajiandae kusumbuli hadi atajuta kuloweka kwenye hiyo papuchi..... aisee hata siamini

Nini Majan mi nilishangaa tu amberlulu kutoka na prezzo, wanaume hawatabiliki
 
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....

Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu

Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei

Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] amber lulu ana mimba ya p funk majani.p funk ana trend,kajala ana trend,paula ana trend[emoji3][emoji3][emoji3]. inaonekana harmonize ana hela mpaka mwanamke anaenda kumroga[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom