Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee!
Kupita nyuzi kama hizi na ku-reply mikeka yangu inachanika!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kweli K haina missed call ,yaani P Funk na Vunja bei ndio baba vijacho kwa hao wadangaji !!
Naunga mkono hojaKama Majani katia mimba yule Shangingi atakua amerukwa na akili.
Kwakweli kama ni kweli Majani ndiye mwenye mimba ya Umber lulu basi hakika kichwani atakuwa amepata hitirafu kidogo duuuu.... yani majani amelivaa hilo lidangaji aisee dunia haina huruma ...na kama ni kweli P funk ajiandae kusumbuli hadi atajuta kuloweka kwenye hiyo papuchi..... aisee hata siamini

Itakusadia nini kwa mfano ukijua???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] amber lulu ana mimba ya p funk majani.p funk ana trend,kajala ana trend,paula ana trend[emoji3][emoji3][emoji3]. inaonekana harmonize ana hela mpaka mwanamke anaenda kumroga[emoji3][emoji3][emoji3]Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan