lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Aliolewa j4 coz kesho yake ilikuwa ni jumatano ya majivu kwa resma inaanza hakuna kufunga ndoa katoliki mpaka kwa resma ishe/pasaka.warumi Lulu amekosa kitchen party, ameolewa ndoa kama ya watu wazima waliokwisha zaa sasa wanahalalisha tu. Tulitegemea harusi ya Jumamosi baada ya send off.
Mungu atusamehe tu si habari nzuri kuskia ila siku hizi watu wanaweka wazi tena sometimes wao wenyewe watendaji wanajisema kabisaIvi mnajuaje kama mtu kwa mpalange hapafai.. ? Siku hizi imekuwa kama halali kabisa watu kula kwa mpalange eeh πππ’π’π’π’.. Mungu aturehemu watu wake
Aisee ila yule ni mcharuko sana naye inawezekana kabisa kuwa gwijiπ€Hakufai naskia ni gwiji
Nimeona hata vijana humu baadhi wanashabikia na wanajitapata kuwafanyia wanawake hivyo. Wanajisahau ile ni mbengu, wanaweza jikuta na binti zao wakaja fanyiwa hivyo, ingawa hatuombeiMungu atusamehe tu si habari nzuri kuskia ila siku hizi watu wanaweka wazi tena sometimes wao wenyewe watendaji wanajisema kabisa
Aisee hadi nahisi huyo angel huko tumboni kachoka na heka heka za mama yake akitoka atapumzikaππYaan nilishuhudia lile baby shower mwanzo mwisho, mweeeh tumbo kubwa ila matashititi yake ni motroooooooh lol.
Heka heka take huyo mama kijacho, mweeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee ndiyo dunia ilipotufikisha hapa! Cha msingi ni kuombea vizazi vyetu viepushwe na hizi laana.Nimeona hata vijana humu baadhi wanashabikia na wanajitapata kuwafanyia wanawake hivyo. Wanajisahau ile ni mbengu, wanaweza jikuta na binti zao wakaja fanyiwa hivyo, ingawa hatuombei
Tatizo la vijana wa kizazi hiki, wamekuwa too curious na tamaa mbele.Hakufai naskia ni gwiji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaah.Sijui hawa akina wolper , aunt Ezekiel , wema na wengine sijui wanafikiriag nini ku date na vitoto na kuwatunza na wao wanajifanya eti wameolewa mxieew
Inshort lulu kawapiga shoti moja matata sana, sura zao hawana pa kuziweka, m mama mijitu mizima akili hawana wala elimu hawana kazi umalaya tu mxieew
Na wasipobadilika hakuna mwanaume wa maana watapata, wataishia kuhonga vijana had wakome na wakifulia wanakimbiwa
Yan hii misanii ya bongo movie huwa inanitia hasira sana Yan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi najua amber rutty ndio ana mimba ya majani
AstakhafirullahShangingi unampendelea muuzaji yule matundu yote yapo wazi...
Sasa huyo Amber hata mwenye mimba anamjua? Km alikua chama la wana na anauza match buree bila kiingilio lol.Hvi hyo mimba ni ya nani hasa maana kampost baba tofauti, nimpongeze kuamua kuzaa
[emoji3][emoji3][emoji3] unacheka mwenyewe mzee wa chura.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tobaaaaah wee.huyo ndo ndo poa kabla ya kumpelekea moto kwanza unahakikisha mitaa na vitongoji vya Mpalange umepiga deki na kunyonya vilivyo majitaka yote mitaloni ndo shughuli inaanza
Hana jinsia huyoWarumi kumbe WA kike, nilijuaga dume ππ
Kabisaaah yaan [emoji23][emoji23][emoji23]Aisee hadi nahisi huyo angel huko tumboni kachoka na heka heka za mama yake akitoka atapumzika[emoji3][emoji3]
Mayasa mrishoNamimi nikipata pesa kama Fred Vunjabei sijui ntampata nani, labda Wastara
πππMayasa mrisho
Amber amekanusha kuhusu majani, hizo other couples tumeshazoea. If I was ever a celeb nisingependa kupublicize mahusiano yangu coz mkiachana inaanza kua shida Tena kufuta posts etc. Wapo waliochorana majina tattoo wakaachana wakaanza kuhangaika kufuta. Nawaelewa sana macelebs wanaokeep rlships zao Pvt.Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,Iβm loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan