Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Halafu huyo Prezoo si nilisikia kaungua?? Sa itakuwaje?Nini Majan mi nilishangaa tu amberlulu kutoka na prezzo, wanaume hawatabiliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huyo Prezoo si nilisikia kaungua?? Sa itakuwaje?Nini Majan mi nilishangaa tu amberlulu kutoka na prezzo, wanaume hawatabiliki
Sigara kali umerudi na kali ya kumalizia mwezi wa pili......Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Hao uliowataja wanamiliki maduka ya nguo yote ya vunja beiWhozu na Vunja bei wanaukaribu kinyama inamaana huyo Tunda kawapanga wote?
Shangingi unampendelea muuzaji yule matundu yote yapo wazi...Kama Majani katia mimba yule Shangingi atakua amerukwa na akili.
Kuungua si kama kupata malariaHalafu huyo Prezoo si nilisikia kaungua?? Sa itakuwaje?
Hakuna urafiki kati ya tajiri na mpambanaji whozu atakua ana play role ya chawa kwa huo urafiki 😁Hatari sana, yani imekuwa je hawa msstar walioshindikana kitabia kuzaa au mimba ziligoma kutoka?
Hafu huyo tunda si alikuwa anatoka na Whozu na Whozu si rafiki na vunjabei?
Kwani yeye majani unamuona ni mzima yule?
Uchawi pesaKwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Moto na moto vilikutana.Halafu huyo Prezoo si nilisikia kaungua?? Sa itakuwaje?
Bridal shower kitchen party na send off tumemisswarumi Lulu amekosa kitchen party, ameolewa ndoa kama ya watu wazima waliokwisha zaa sasa wanahalalisha tu. Tulitegemea harusi ya Jumamosi baada ya send off.
Very senior jf member anapochangia nyuzi za Malaya kina warumi inaumiza Sana.Kwakweli kama ni kweli Majani ndiye mwenye mimba ya Umber lulu basi hakika kichwani atakuwa amepata hitirafu kidogo duuuu.... yani majani amelivaa hilo lidangaji aisee dunia haina huruma ...na kama ni kweli P funk ajiandae kusumbuli hadi atajuta kuloweka kwenye hiyo papuchi..... aisee hata siamini
Kwenye baby shower ya Umber amedai huyo ma leaves na mkewe wamemtishia maisha, anaulizia kama hahusiki Kwa nini anapanic na sio yeye Hadi mkewe?.Naunga mkono hoja
Huwez ukalalamika huna boyfrien bila kudondosha nambar yako ya simu.Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Acha kufuatilia maisha ya watu, wewe unafanya Nini kwenye huu uzi?Very senior jf member anapochangia nyuzi za Malaya kina warumi inaumiza Sana.
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....
Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu
Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei
Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Rafiki unapenda umbea kuliko BMW!😄😄😄Wacha wee, umbea mpya mjini. [emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu akienda labour atafyatua chap chap, ila I think atachagua operation tu huyo maana huko kwa mpalange lohWadada wa mjini wameamua kuzaa labda watatulia kidogo! Ila ile baby shower ya Amberlulu mbona amechangamka sana anakata mauno hadi watu wanasema hivo viuno mwishowe mtoto achomoke atoke huko tumboni kabla[emoji3][emoji3]