Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....

Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu

Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei

Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Sigara kali umerudi na kali ya kumalizia mwezi wa pili......
Funk kaenda tia mimba malaya yule duuh
 
Hatari sana, yani imekuwa je hawa msstar walioshindikana kitabia kuzaa au mimba ziligoma kutoka?
Hafu huyo tunda si alikuwa anatoka na Whozu na Whozu si rafiki na vunjabei?
Hakuna urafiki kati ya tajiri na mpambanaji whozu atakua ana play role ya chawa kwa huo urafiki 😁
 
Doh
Kwani yeye majani unamuona ni mzima yule?
-7doj05.jpg
 
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....

Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu

Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei

Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Uchawi pesa
 
Kwakweli kama ni kweli Majani ndiye mwenye mimba ya Umber lulu basi hakika kichwani atakuwa amepata hitirafu kidogo duuuu.... yani majani amelivaa hilo lidangaji aisee dunia haina huruma ...na kama ni kweli P funk ajiandae kusumbuli hadi atajuta kuloweka kwenye hiyo papuchi..... aisee hata siamini
Very senior jf member anapochangia nyuzi za Malaya kina warumi inaumiza Sana.
 
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....

Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu

Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei

Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
Huwez ukalalamika huna boyfrien bila kudondosha nambar yako ya simu.
 
Binamu nimeku PM, unaweza jongea upande wa pili tafadhali.
 
Wadada wa mjini wameamua kuzaa labda watatulia kidogo! Ila ile baby shower ya Amberlulu mbona amechangamka sana anakata mauno hadi watu wanasema hivo viuno mwishowe mtoto achomoke atoke huko tumboni kabla[emoji3][emoji3]
Huyu akienda labour atafyatua chap chap, ila I think atachagua operation tu huyo maana huko kwa mpalange loh
 
Back
Top Bottom