Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Tetesi: Warumi nafukutwa na umbea leo

Amber Ruty ana mimba ya Diamond

Evodia Njelekela ana mimba ya Grand P.

EVODIA3.jpg


Grand P.jpg
 
Tatizo la vijana wa kizazi hiki, wamekuwa too curious na tamaa mbele.

Wakiona demu nyuma mashaallah kumejazia, wanataka wachomeke humo humo wajue kuna nini.
Inamaana hawajui kama ni njia ya Nya?
 
Sijui hawa akina wolper , aunt Ezekiel , wema na wengine sijui wanafikiriag nini ku date na vitoto na kuwatunza na wao wanajifanya eti wameolewa mxieew

Inshort lulu kawapiga shoti moja matata sana, sura zao hawana pa kuziweka, m mama mijitu mizima akili hawana wala elimu hawana kazi umalaya tu mxieew

Na wasipobadilika hakuna mwanaume wa maana watapata, wataishia kuhonga vijana had wakome na wakifulia wanakimbiwa

Yan hii misanii ya bongo movie huwa inanitia hasira sana Yan
Warumi dada angu sorry for irrelevance, hiv huyu jamaa ana uhusiano gani na Uwoya na mbona kafanana sana na yule mtoto wa Uwoya kulikoni?
 

Attachments

  • Screenshot_20210303-115754.png
    Screenshot_20210303-115754.png
    129.4 KB · Views: 6
Kwanza kabisa hongera sana Lulu kwa kuolewa, hapa wambea umetukomesha, yan umetuvua nguo Mchana kweupe, mxieew mbwa wewe, shoga umeokota embe dodo mjini, jiji gumu hili, Dada ako warumi Nina miaka 43 hata boyfriend sina ....

Secondly,I’m loving this new couple ya mjini , Harmonize na Kajala, what a perfect match , Harmonize kweli kapenda, kafa kaoza ila sijui kwa nini Warumi mie nahis hili penz it will end in premium tears, I doubt Kajala ako na the same feeling kama Harmonize , ila napenda tu wamependezeana and the love looks natural , ingawa kuna Tetesi Kajala kamroga sana mmakonde wa watu

Halafu nasikia Tunda ana mimba ya vunja bei

Amber lulu nae ana mimba ya p-funk majan
We ni nabii.. Hapo kwa harmo na kajala
 
Tunapita kweli duniani. Sijawai kumuona huyu mtu ila roho imeniuma aisee. Na nlikua najua ni mdada siku zote kumbe kaka. Pumzika salama kaka.
Pole bwana mdogo,ila jinsia ya marehemu ilikuwa na utata sana inasemekana alikuwa ni dume lakini yeye anajirefer kama mwanamke,na hata uandishi wake watu tulikuwa tunajua ni wa kike
 
Back
Top Bottom