Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

wewe ni mwanamke mbona tunajua aisee
 
Je ungepewa nafasi ya kuwa kiongozi ktk serikali ungependelea kupewa nafasi gani na kwanini?
 
Ushawahi kuwa kwenye mahusiano na ikatokea habari zako sensitive zikawa ubuyu kwa wengine je ulihandle vipi bio hali?
Kama haijakutokea unahisi ikikupata utakuwa katika hali gani?
 
Mara niulize anything, mara jinsia hutajibu, tukueleweje?
 
Kwann unamchukia wema? Je abadili kipi katika lifestyle yake?
Simchukii wema,ila nachukia tu jinsi mashabiki zake wanavyomtetea hata kama akifanya ujinga,eg kudanganya kanunua nyumba ya mil 400 kumbe si kweli, ila simchukii, wema ni kati ya wasichana ninaowakubali kimuonekano.

Ushauri aachane na marafiki ,apige kazi
 
Kwa umbea wako, umeshakutana na Wasanii wepi hapa Bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…