IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Kwa jinsi maandiko yako yalivyo ni kama unashiriki mapenzi ya jinsia moja. Ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni zaidi ya mara 2 naona comment ikikuhusisha na watu hao.unadhani sababu nn?Yes,napenda habari za udaku, na sina mahusiano yeyote na watu wa usalama, kuhusu kustaafu umbea sidhani aaah
14?. We boooonge Moja la kahaba hapa mjini14,hata simkumbuki vzuri now
25 years then umepewa penalty ya nguvu Dubai na ni mfanyabiashara!!!!???? 😳 😳 😳 😳 😳 😳ku overstay Dubai, nilipewa penalty ya nguvu sitasahau , nilinogewa tu na bata za huko,lol
kwan penalty inaangalia umri? nilikua kibiashara25 years then umepewa penalty ya nguvu Dubai na ni mfanyabiashara!!!!???? 😳 😳 😳 😳 😳 😳
Tueleze elimu yako, umesoma hadi kidato cha ngapi na fani uliyosomea...Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.
Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
Umeuza kete ngapi jana?Haya mashabiki zangu wa ubuyu nipo live now, uliza chochote kuhusu mimi nitakujibu ,kipi nakufuraisha au kukuboa, its a serious Talk, uwarumi tuuache pembeni kidogo, nakaribisha maswali ,maoni na ushauri, haya sasa uwanja.
Note: Suala la jinsia yangu sitalijibu leo.
Wewe ni ke au me?
warumi bana[emoji23] [emoji30]hapana
aaa mjamaa jiongeze bas c majambazAkina nani walikutishia?
Tena mchicha mwiiba[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umewezaje kumkwepa makonda na kigwangala kwa sababu najua wewe ni mchicha
Kiwango cha elimu ningependa kujua?
Je kwa nini huwa unamponda sana Lulu(Elizaberth Michael)?
Sipati notification