Pengo la huyu mwamba kweli linaendelea kuonekana na sidhani kama atatokea wa kuliziba. Kiukweli jamaa alikuwa na kipaji cha kipekee sana! Ukiingia nae ligi ujipange kweli vinginevyo utaishia kuoga vichambo tu.
Jioni kama hii ungekuepo ningekua napitia posts zako mpya au comments zako za habari za mjini, habari zenye mafunzo aka umbea wenye afya
Nilikuaga najichekea mwenyewe ila kila kicheko na kichekesho toka kwako kilikua na mafunzo au shule ndani yake..... Dah kifo hiki💔😥👐
Kisema ukweli kuna threads zako ambazo nimewahi kuwapa mabinti machachari wanaochepukia, mabinti wanaodhani kila siku wataendelea kuwa kama walivyo zikawabadilisha sanaaaaa
Endelea kupumzika kwa amani binamu🕊🙏
[/QUOTEIla @ila warumi alitokea mbeya sio ccm yule
NA SISI TUPUMZIKE KWA AMANI KWA WAKATI UJAO.....RIP FOR ALL OF USJioni kama hii ungekuepo ningekua napitia posts zako mpya au comments zako za habari za mjini, habari zenye mafunzo aka umbea wenye afya
Nilikuaga najichekea mwenyewe ila kila kicheko na kichekesho toka kwako kilikua na mafunzo au shule ndani yake..... Dah kifo hiki💔😥👐
Kisema ukweli kuna threads zako ambazo nimewahi kuwapa mabinti machachari wanaochepukia, mabinti wanaodhani kila siku wataendelea kuwa kama walivyo zikawabadilisha sanaaaaa
Endelea kupumzika kwa amani binamu🕊🙏
Pamoja na yote, kitendo cha mwanaume kukubali mwanaume mwezio kukuingiza …. Naomba niishie hapo maana hata katika interview ya baba yake Banana Zoro - Zahiri alisema kuwa angaliua kama kijana wake angalifanywa ShogaKila mtu unique na Warumi alikua wa aina yake.
1.Uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
2.Msimamo katika alichokiamini
3.Alikua na uwezo mkubwa wa kuona ubora kwenye watu/vitu bora
4.Pia alikua na uwezo wa kuona ubora kwenye watu/vitu visivyo bora
5.Alikua na uwezo mkubwa wa ushawishi
6.Alikua msema ukweli, hata ule ukweli unaouma
7.Alikua hodari wa kulumbana kwa hoja zenye mashiko
8.Kila neno aliloliongea hata liwe na ukakasi lilikua na thamani kwenye content yake
9.Alikua mtu wa watu, nna uhakika sio hapa jukwaani tuu ila hata nje ya jukwaa
10.Naweza kusema alikua na akili nyingi sana, akili za kizaliwa
Warumi alikua mmoja kati ya members mahiri sana kwangu hapa jf
WatujibuHivi alikuwa ni KE au ME
Inaonekana alikua ana jina jingine kabla ya mlengeMlenge
Nimekuta wamemuwekea Badge tayari sijui kafariki lini huyu ndugu[emoji22][emoji22]
View attachment 1958517
Huo ubora wake wore niliopoteza baada ya kugundua ni mme alikuwa anaACT kama KEKila mtu unique na Warumi alikua wa aina yake.
1.Uwezo mkubwa wa kuchambua mambo
2.Msimamo katika alichokiamini
3.Alikua na uwezo mkubwa wa kuona ubora kwenye watu/vitu bora
4.Pia alikua na uwezo wa kuona ubora kwenye watu/vitu visivyo bora
5.Alikua na uwezo mkubwa wa ushawishi
6.Alikua msema ukweli, hata ule ukweli unaouma
7.Alikua hodari wa kulumbana kwa hoja zenye mashiko
8.Kila neno aliloliongea hata liwe na ukakasi lilikua na thamani kwenye content yake
9.Alikua mtu wa watu, nna uhakika sio hapa jukwaani tuu ila hata nje ya jukwaa
10.Naweza kusema alikua na akili nyingi sana, akili za kizaliwa
Warumi alikua mmoja kati ya members mahiri sana kwangu hapa jf
Pamoja na yote, kitendo cha mwanaume kukubali mwanaume mwezio kukuingiza …. Naomba niishie hapo maana hata katika interview ya baba yake Banana Zoro - Zahiri alisema kuwa angaliua kama kijana wake angalifanywa Shoga