Warumi (RIP) nimekumiss mwenzio

Warumi (RIP) nimekumiss mwenzio

Kabla ya kifo chako muda kama huu nilikua napitia threads zako za udaku zenye mafundisho tele. Kulikua na jambo la kujifunza kwenye kila post yako
Nimekumiss sana binamu,
Endelea kulala salama WARUMI
Dah! Mtu alijua kuniliza huyu! Sina hamu aiseeh!
 
Wacha tuu
Alikua mtu mwenye akili nyingi sana
Nilikuwa kama namjua jamani! Yani Warumi, amefanya nijikute hata celebrities naona sio jukwaa langu tena! Mana nashindwa kuingia kule bila kukumbuka his vibe jamani!
Mungu ampe rehema aliko!
 
Back
Top Bottom