Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe? Samahani lakini kwa swali gumu![emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa kumbe Alishafariki!!
Aisee!!,
Hakuna haijuaye kesho yake.
R.i.P warumi.
We jamaa hiyo picha kwenye avatar yako ni wewe? Samahani lakini kwa swali gumu![emoji3][emoji3][emoji3]
Embu ngoja kwanza umemiss warumi au umbea wake ?View attachment 1959945
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pole sana Mama ake na DBila yeye hakungekua na umbea
Nimemmiss Warumi[emoji174]
Due hi kali aiseeeHuo ubora wake wore niliopoteza baada ya kugundua ni mme alikuwa anaACT kama KE
Basi bebiMi celebrities siku hizi napaskia kuumia sana.
Last two days kidogo niandike hivi hivi.
We miss you warumi
Na ulisema "hapatatokea mwingine wa aina yangu hili jukwaa"
Kweli aiseeeh.
Tumesalimu amri.
Umetuweza mb....a wewe.
Mxxxiiew( hii fyonza yako kila nikiiandika popote siachi kukumiss)
Pumzika salama rafiki.
Ahsante kwa wakati mzuri ulioshare nasi.
Sema nini, itakuwa una maumbea kibao ya huko ya kina Ngwea sijui Masongange ila tu ndo huwezi kutumegea.
Until we meet again Lil bro!!
Forever in my heart we nyau!!
Usikute ni account ya warumi pia .
Duu sijaja huku siku, Warumi kafa jamaniii hivi alikua jinsia gani aiseeHivi alikuwa ni KE au ME
Kilikuwa kidume cha mbeguDuu sijaja huku siku, Warumi kafa jamaniii hivi alikua jinsia gani aisee
Mmejuaje kama amefariki? Aliumwa au ajali?Mungu atujalie tufike huko
Mmejuaje kama amefariki? Aliumwa au ajali?
Asante dada sikuliona hili bango.Kulikua na taarifa mkuu
TANZIA - Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo. Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta . Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya...www.jamiiforums.com
Kulikua na taarifa mkuu
TANZIA - Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo. Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta . Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya...www.jamiiforums.com
Mkuu tafuta cha "Dialogues of Plato" utakutana na sura inaitwa "Phaedo". Katika sura hii utakutana na mjadala wa Socrates baada ya kupewa adhabu ya kifo. Socrates anajenga hoja ya msingi kuhusu kifo. Ikumbukwe sehemu nyingine Socrates anasema "mwili ni gereza la roho".Kadiri umri unavyosonga ndo nazidi kukitafakari kifo!! Na honesty sipati majibu ya kutosha, Kifo kisikie tu kwa jirani kinauma sana kwa mtu wa karibu.
imefikia mahala hadi naona hakukuwa na maana kabisa ya kuzaliwa na kuja duniani!
Kuzaliwa na kufa ni moja ya mission mbovu kabisa kuwahi kutokea duniani . It had to be either on , or off , not both.
Rip warumi !! , mbele yetu, nyuma yako