Warumi (RIP) nimekumiss mwenzio

Reast Im Internal Peace Warumi, nilishawahi kukwaza natumai ulimisamehe, Mungu no wetu tu nyuma yako
 
Kwa kweli nimeguswa mno na kifo cha huyu mdau.

Nakumbuka kwenye kila uzi aliouanzisha lazima ukutane na hili swali "hivi warumi ni Me au Ke??

ni muda mrefu sijaingiaga hili jukwaa leo nimeshtushwa kukuta mwenye jukwaa lake ameshafariki.

Hakika hii dunia ni mapito tu...RIp warumi
 
I liked warumi, though i didnt know whether was a man or woman. Pumzika kwa amani rafiki yangu warumi.
 
Sasa hivi umbea humu unaletwa kama habari, unaletwa kwa mafungu, hamna picha wala maelezo
Warumi bana rip.
 
Basi bebi
This world ain't ours
 
Mmejuaje kama amefariki? Aliumwa au ajali?

Kulikua na taarifa mkuu

 
Asante dada sikuliona hili bango.
 

Kila nikiingia jukwaa la celeb sion mada moto, nikawa najiuliza huyu warumi anakwama wapi siku hizi?
Mbona habari zina trendi nyingi mjini na yeye yupo kimya?

Ikabidi nimchachi na kuangalia mada yake ya mwisho na comment yake...

Kucheki nakuta comment yake ya mwisho ni july 19...

Nilijua kapigwa ban, ikabidi nizame kwenye profile naona RIP...! [emoji24][emoji24]
Nilijua labda Yeye ndo kajiandika hivyoo, au pengine JF imekosea..
Ikabidi nisachi jina lake kuona km kuna taarifa ya kifo chake, ndipo nilipo kutana na mada hii

Imeniuma sana, nime umia kweli..

Pamoja na kwamba nilikua si comments kwenye mada zake, lkn mm nilikua moja ya shabiki wake mkubwa, na mara zote nikiingia jukwaa la celeb hua namsachi kuangalia mada yake ya mwisho...

Pumzika kwa amani warumi, umetutoka ghafla bila taarifa.
 
Mkuu tafuta cha "Dialogues of Plato" utakutana na sura inaitwa "Phaedo". Katika sura hii utakutana na mjadala wa Socrates baada ya kupewa adhabu ya kifo. Socrates anajenga hoja ya msingi kuhusu kifo. Ikumbukwe sehemu nyingine Socrates anasema "mwili ni gereza la roho".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…