Kabla ya kifo chako muda kama huu nilikua napitia threads zako za udaku zenye mafundisho tele. Kulikua na jambo la kujifunza kwenye kila post yako
Nimekumiss sana binamu,
Endelea kulala salama WARUMI
Nilikuwa kama namjua jamani! Yani Warumi, amefanya nijikute hata celebrities naona sio jukwaa langu tena! Mana nashindwa kuingia kule bila kukumbuka his vibe jamani!
Mungu ampe rehema aliko!