Warumi

Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na hii hoja??

Ooh jaman najisikia kulia binamu , Ahsante sana yani , na nitaendelea kuwapa burudan ya aina yake , warumi miaka mia , watakuja ila mimi Ndo Jasir muongoza umbea[emoji23][emoji23]
 
Ooh jaman najisikia kulia binamu , Ahsante sana yani , na nitaendelea kuwapa burudan ya aina yake , warumi miaka mia , watakuja ila mimi Ndo Jasir muongoza umbea[emoji23][emoji23]
AHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHA nyau wewe!
UTANILIPA FIDIA MBAVU ZANGU!
jasiri muongoza waaaaaaat?
aahahhahahahhahhaa hakiiii wanaokuchukia sijui wanahitaji nini ili maisha yao JF yawe burudani
 
Huyo ' Warumi ' unayemzungumzia wewe tunaomba maelezo yake kwa ufupi.. Wengine hatumfaham kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…