Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na hii hoja??
Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na hii hoja??
unajua watu kama warumi kwenye jamii wasipokuwepo maisha yanakua magumu sana
Ahahaah ahsante binamu
Ni wivu tu [emoji23][emoji23]
Hapana ni katoto kazuri kamekufungulia threadKuna watu watasema nimejianzishia thread [emoji23][emoji23]
Eti waambie haoKuna watu wanawana wivu hata kwa watu wasiuowajua.
Sijui wanapata nini
Wewe avatar yako inanisisimua huyo mtoto anavuta ziwa la mama kama karatasi dahmwanzoni nlikua najua warumi ni mwanaume....kumbe...!
Ooh jaman najisikia kulia binamu , Ahsante sana yani , na nitaendelea kuwapa burudan ya aina yake , warumi miaka mia , watakuja ila mimi Ndo Jasir muongoza umbea[emoji23][emoji23]
AHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHAHAHA nyau wewe!Ooh jaman najisikia kulia binamu , Ahsante sana yani , na nitaendelea kuwapa burudan ya aina yake , warumi miaka mia , watakuja ila mimi Ndo Jasir muongoza umbea[emoji23][emoji23]
WASHASEMA hukoooo mbona! kwenye thread nyingine nafkiri!Kuna watu watasema nimejianzishia thread [emoji23][emoji23]
Na kweli ni wivu unanisumbua na hapo sikujui ningekujua ningekuwekea sumu kabisaa uungue kooNi wivu tu [emoji23][emoji23]