Warumi

Warumi

Warumi ni mtu mzima ila ni anatusaidia sana .
Kwa umbeya motomoto na za nyakati.
Warumi ni mtu muhimu sana humu .
Tukimkosa mtu kama warumi sijui tutampata wapi tena .
Je wangapi wanakubaliana na hii hoja??
Warumi wakiume au wakike??
 
warumi ni msupuu sana ninamkubali.

Kuna jamaa moja anajaribu kumuiga ila hata robo hafiki kwa Warumi.

Jamaa fulan anajiita sijui zigidume sijui vipi jamaa lile.

Warumi oyeeeeee
 
Back
Top Bottom