Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100 kwa siku) ila bado wanapambana kuteka hako kamji, hii aibu sana.

Ikikumbukwa hawa hawa Warusi walithubutu kuparamia Kyev pale mwanzoni na limsafara lao lile ambalo lilifyekwa lote.

===

An infantry carrier moves quickly across a devastated landscape, traversing a flat expanse dotted with lines of shattered buildings, some reduced to rubble by artillery fire. At one point a plume of smoke is visible, drifting against the backdrop of a huge open mine works.

The drone footage shows the carrier, marked with a red cross, halt beside a building missing part of its roof and many of its windows. A Ukrainian medic darts out and peers briefly around the corner of the building as a casualty is brought out on a stretcher. Loaded quickly, the carrier heads away at high speed, coming under Russian artillery fire as it tries to leave the town.

Pictured in the footage are the ruins of the small Donbas saltmining town of Soledar, and a fleeting scene from a battle where life, death and injury has been measured in the past week in such near and not-so-near misses.

On Friday, as Russia’s defence ministry said its forces had taken full control of the saltmining town, western analysts suggested that, if true, it would be at best a pyrrhic victory, gained at high cost to fighters from the Wagner mercenary group of Yevgeny Prigozhin, who claimed the town had fallen on Wednesday.

Ukrainian officials denied the Russian claim, suggesting they were still holding on and counterattacking, with the Ukrainian military spokesperson Serhii Cherevatyi reporting “ongoing battles”. Before and after photos give a sense of the destruction:

Leo asubuhi wanamgambo 25 wa Wagner wamekufa Kwa kulipuliwa na himas
Waachane na vita. Hakunaga vita isiyoleta madhara. Putin anatuma watu, watu wanakufa, wanavunjika moyo, wanajeshi was Urusi wanajeruiwa wanapitia changamoto kubwa Sana, wanaenda sehemu wanajisahau wanatunia simu wanashukiwa na wanajeshi wa usa. Kutokana na rada zinawasoma wanachapika balaaa. Wenyewe washazoea tumia simu na silaha ya Kwanza ya USA ni mobile simu. Ukiwa hewani system ya USA inakusoma na kukupa kipondo kibaya sana.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama...
mbinu ya Medani ya Ukraina ni kuwabemenda warusi na kuwapunyu manyoya ili wasiweze kuruka tena!
Hamtasikia jipya tena toka putin zaidi ya ku-recruite raia wake na kwenda kuwauwa pamoja na kama raia wa ukraina....
 
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100 kwa siku) ila bado wanapambana kuteka hako kamji, hii aibu sana......
Ikikumukwa hawa hawa Warusi walithubutu kuparamia Kyev pale mwanzoni na limsafara lao lile ambalo lilifyekwa lote....
=================

An infantry carrier moves quickly across a devastated landscape, traversing a flat expanse dotted with lines of shattered buildings, some reduced to rubble by artillery fire. At one point a plume of smoke is visible, drifting against the backdrop of a huge open mine works.

The drone footage shows the carrier, marked with a red cross, halt beside a building missing part of its roof and many of its windows. A Ukrainian medic darts out and peers briefly around the corner of the building as a casualty is brought out on a stretcher. Loaded quickly, the carrier heads away at high speed, coming under Russian artillery fire as it tries to leave the town.
Pictured in the footage are the ruins of the small Donbas saltmining town of Soledar, and a fleeting scene from a battle where life, death and injury has been measured in the past week in such near and not-so-near misses.

On Friday, as Russia’s defence ministry said its forces had taken full control of the saltmining town, western analysts suggested that, if true, it would be at best a pyrrhic victory, gained at high cost to fighters from the Wagner mercenary group of Yevgeny Prigozhin, who claimed the town had fallen on Wednesday.

Ukrainian officials denied the Russian claim, suggesting they were still holding on and counterattacking, with the Ukrainian military spokesperson Serhii Cherevatyi reporting “ongoing battles”. Before and after photos give a sense of the destruction:
Hako unakosema wewe kuwa ni kamji kadogo ndo kanatoa chumvi ya Ukraine nzima pamoja na sehemu za ulaya.

Wenzako sasa ivi wanakula chakula bila chumvi alafu wewe huku unaongea bangi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unateseka ukiwa kajiado ,pole sana

chawa wa urusi kutoka kibera na buza subiri wanajiandaa na mapovu ya kiwandani sio sababuni
 
Hako unakosema wewe kuwa ni kamji kadogo ndo kanatoa chumvi ya Ukraine nzima pamoja na sehemu za ulaya.

Wenzako sasa ivi wanakula chakula bila chumvi alafu wewe huku unaongea bangi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa chumvi ndio inasababisha Urusi waingie gharama yote hiyo ya kufa kama takataka, na watauawa sana.....Yaani nikikumbuka ilivyojaribu kuparamia Kyev leo mnakwenda kupambania kamji ka chumvi...hehehe
 
Back
Top Bottom