Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana

Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana

Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100 kwa siku) ila bado wanapambana kuteka hako kamji, hii aibu sana......
Ikikumbukwa hawa hawa Warusi walithubutu kuparamia Kyev pale mwanzoni na limsafara lao lile ambalo lilifyekwa lote....
=================

An infantry carrier moves quickly across a devastated landscape, traversing a flat expanse dotted with lines of shattered buildings, some reduced to rubble by artillery fire. At one point a plume of smoke is visible, drifting against the backdrop of a huge open mine works.

The drone footage shows the carrier, marked with a red cross, halt beside a building missing part of its roof and many of its windows. A Ukrainian medic darts out and peers briefly around the corner of the building as a casualty is brought out on a stretcher. Loaded quickly, the carrier heads away at high speed, coming under Russian artillery fire as it tries to leave the town.
Pictured in the footage are the ruins of the small Donbas saltmining town of Soledar, and a fleeting scene from a battle where life, death and injury has been measured in the past week in such near and not-so-near misses.

On Friday, as Russia’s defence ministry said its forces had taken full control of the saltmining town, western analysts suggested that, if true, it would be at best a pyrrhic victory, gained at high cost to fighters from the Wagner mercenary group of Yevgeny Prigozhin, who claimed the town had fallen on Wednesday.

Ukrainian officials denied the Russian claim, suggesting they were still holding on and counterattacking, with the Ukrainian military spokesperson Serhii Cherevatyi reporting “ongoing battles”. Before and after photos give a sense of the destruction:


Vipi chang'aa ya leo kali sana??!!
 
Sasa chumvi ndio inasababisha Urusi waingie gharama yote hiyo ya kufa kama takataka, na watauawa sana.....Yaani nikikumbuka ilivyojaribu kuparamia Kyev leo mnakwenda kupambania kamji ka chumvi...hehehe
Sisi Tulikuwa tunataka tu tuwafukunyue katika hayo mahandaki na tunataka tuwaondoe ktk hizo barabara za chini ya ardhi. Huo mji ni muhimul sana kama unataka kushinda vita
 
Hehehe!!! Kuna uzi nilianzisha wa kujadili ukatili wa lile lizee kwa katoto, nimekutag umekimbia
Tatizo lako kwenye majadiliano unakimbia maswali na hoja unazopewa ,yaani mtu anaweza kukuukiza swali na kutoa hoja baada ya kujibu na kupinga kielimu unaweka link na aya zisizohusiana na mada hivyo unpaswa kupuuzwa tu.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230114_183731.jpg
 
Nyie watu hivi mnapata wapi huu uongo. Majimbo yote ambayo urusi alikuwa anayahitaji bado ameyashikilia, itambulike kuwa bado urusi hajadeploy jeshi lake mnaohangaika nao ni untrained cops vijana wa mtaani tu wamevalishwa uniform pia vifaa vya kupigania ni vile vya 40s hajafungua maghala ya silaha zake
 
Hako unakosema wewe kuwa ni kamji kadogo ndo kanatoa chumvi ya Ukraine nzima pamoja na sehemu za ulaya.

Wenzako sasa ivi wanakula chakula bila chumvi alafu wewe huku unaongea bangi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi na swala la gesi,Ulaya wameshaganda kwa baridi au "winter is comning" bado haijafika?
 
Warusi wanakufa kama kumbikumbi afu warusi wa kwa mpalange wanasema propaganda [emoji2]
 
Vipi na swala la gesi,Ulaya wameshaganda kwa baridi au "winter is comning" bado haijafika?
Ulaya inaanguka kiuchumi. Marekani anawauzia gesi bei juu sana yaani ni mara nane ya bei ya Mrusi. Viwanda vingi uko vinafungwa na bidhaa bei juu. Tuvute tuu muda maada ya muda kuna bomu litalipuka
 
Back
Top Bottom