Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana



Vipi chang'aa ya leo kali sana??!!
 
Sasa chumvi ndio inasababisha Urusi waingie gharama yote hiyo ya kufa kama takataka, na watauawa sana.....Yaani nikikumbuka ilivyojaribu kuparamia Kyev leo mnakwenda kupambania kamji ka chumvi...hehehe
Sisi Tulikuwa tunataka tu tuwafukunyue katika hayo mahandaki na tunataka tuwaondoe ktk hizo barabara za chini ya ardhi. Huo mji ni muhimul sana kama unataka kushinda vita
 
Hehehe!!! Kuna uzi nilianzisha wa kujadili ukatili wa lile lizee kwa katoto, nimekutag umekimbia
Tatizo lako kwenye majadiliano unakimbia maswali na hoja unazopewa ,yaani mtu anaweza kukuukiza swali na kutoa hoja baada ya kujibu na kupinga kielimu unaweka link na aya zisizohusiana na mada hivyo unpaswa kupuuzwa tu.
 
Nyie watu hivi mnapata wapi huu uongo. Majimbo yote ambayo urusi alikuwa anayahitaji bado ameyashikilia, itambulike kuwa bado urusi hajadeploy jeshi lake mnaohangaika nao ni untrained cops vijana wa mtaani tu wamevalishwa uniform pia vifaa vya kupigania ni vile vya 40s hajafungua maghala ya silaha zake
 
Hako unakosema wewe kuwa ni kamji kadogo ndo kanatoa chumvi ya Ukraine nzima pamoja na sehemu za ulaya.

Wenzako sasa ivi wanakula chakula bila chumvi alafu wewe huku unaongea bangi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi na swala la gesi,Ulaya wameshaganda kwa baridi au "winter is comning" bado haijafika?
 
Warusi wanakufa kama kumbikumbi afu warusi wa kwa mpalange wanasema propaganda [emoji2]
 
Vipi na swala la gesi,Ulaya wameshaganda kwa baridi au "winter is comning" bado haijafika?
Ulaya inaanguka kiuchumi. Marekani anawauzia gesi bei juu sana yaani ni mara nane ya bei ya Mrusi. Viwanda vingi uko vinafungwa na bidhaa bei juu. Tuvute tuu muda maada ya muda kuna bomu litalipuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…