Warusi wameshuka hadhi kiasi cha kugombea kamji ka watu 10,000 ambako kameshindikana

Sisi Tulikuwa tunataka tu tuwafukunyue katika hayo mahandaki na tunataka tuwaondoe ktk hizo barabara za chini ya ardhi. Huo mji ni muhimul sana kama unataka kushinda vita

Na hamtaweza, mtaangukia pua kama ilivyotendeka Kyev...
 
Tatizo lako kwenye majadiliano unakimbia maswali na hoja unazopewa ,yaani mtu anaweza kukuukiza swali na kutoa hoja baada ya kujibu na kupinga kielimu unaweka link na aya zisizohusiana na mada hivyo unpaswa kupuuzwa tu.

Hakuna nadharia unayowea kuweka ikabadilisha ukweli, babu kama lilichafua katoto hata uandike nadharia mia moja, haitabadilisha huo ukatili.
 
We kilaza hizi takbir na vita ya Ukraine/Russia vinahusiana nini, yani ulivyokuwa bwege ushabiki wako wa kidini unauleta mpaka kwenye vitu visivyohusika, au ndo mchungaji wako wa kanisa la mabati(full suti) ndo anavyokufundisha hivyo.

Hehehe mbele kwa mbele....
 
Naomba kuuliza hivi mpaka leo Mrusi hajachukua mji wa kyev toka mwezi wa 3 ama...???
 
Supa-pawa anataka kudhibiti machimbo ya chumvi, ili waukraine wakila mboga au nyama zikose ladha...😂😂
 

Sio 10,000.
 
Sasa chumvi ndio inasababisha Urusi waingie gharama yote hiyo ya kufa kama takataka, na watauawa sana.....Yaani nikikumbuka ilivyojaribu kuparamia Kyev leo mnakwenda kupambania kamji ka chumvi...hehehe
Mkuu soledar ipo ndani ya donbass.
Donbass WARUSI WANATAKA kuchukua yote ili kuwapa RAIA wenye asili ya kirusi Ukraine.
Sasa hasara ipo wapi
 
Bila kusahau wafungwa(wagner)
 
Kwa hiyo anapoteza askari 10,000 ili ateke kamji ka watu 10,000 useless supapawa na bado mpaka sana anaendelea kuingia hasara balaa.
Tuonyeshe HAO askari 10,000 mkuu.
Ila tunajua tuu Ukraine wamepoteza zaidi ya 25000. According to EU.
 
Tuonyeshe HAO askari 10,000 mkuu.
Ila tunajua tuu Ukraine wamepoteza zaidi ya 25000. According to EU.

Urusi mpaka sasa keshapoteza zaidi ya laki, hiyo ni idadi ya ukijumlisha jeshi lote la JWTZ, KDF, NRM na uche....na mpaka sasa wanagombea tumji twa huko mpakani.
 
Ulaya inaanguka kiuchumi. Marekani anawauzia gesi bei juu sana yaani ni mara nane ya bei ya Mrusi. Viwanda vingi uko vinafungwa na bidhaa bei juu. Tuvute tuu muda maada ya muda kuna bomu litalipuka
Swali lilikuwa simple na straight,Ulaya wameshaganda kwa baridi kama Pro Russia wengi humu walivyokuwa wanasema? Hayo ya kuanguka ki uchumi sidhani kama ni sehemu ya jibu ninalohitaji kwa swali rahisi kiasi hiki.
 
Swali lilikuwa simple na straight,Ulaya wameshaganda kwa baridi kama Pro Russia wengi humu walivyokuwa wanasema? Hayo ya kuanguka ki uchumi sidhani kama ni sehemu ya jibu ninalohitaji kwa swali rahisi kiasi hiki.
Hujaona magari vita ya kimarekani yanashindwa kuwaka kwa sababu ya ku freeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…