Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

Walk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"

Haya maneno kwenye wimbo wa Kenny Rogers yananiepusha na mengi sana, nadhani Putin hajasikiliza hili song, mtu mzima anapata aibu.
 
Mimi kama askari siwezi kufa kwa ujinga wa putin navua gwanda tupa vifaa vyao navuka boda ulaya kisha navuta familia ya nini kufa kwa faida ya mtu mmoja wakati wao watoto wao wako salama na familia zao.
Sio rahisi kihivyo
 
Acha kujisahaulisha...walifanya bila USA?
USA mziki mnene na ni yeye aliyefanya turn around ya kumdondosha hitler

Elewa Russian soldier win the battle BUT USA win the war.
Again soldiers win the battle, But logistics win the war
Sasa chagua unataka to win kipi?
Unaupiga mwingi mkuu
 
War tacticts back then were different. By then ilikuwa ni USSR.
Now nchi zimeendelea huwez ukaingia kienyeji tu kwenye backyard ya mtu huku akikuangalia tu.

Technology imebadilika na watu wamebadilika. This is not WWII
Absolutely!

Mchane kumwambia ukweli huyo dogo, asipokuelewa mchape na kofi.
 
Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia"

A Russia state-media host has called for the country's generals to be "shot" for having allowed troops to retreat from huge swathes of Ukraine — part of a wider meltdown among President Vladimir Putin's cheerleaders.

Ukrainian forces have successfully regained around 1,250 (2,000 square kilometers) of territory in the country's Kharkiv region over the past few days, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said in his Saturday night address.

Russia's Ministry of Defense has confirmed that its forces were retreating from some areas in the Kharkiv region, the BBC reported.

The speed of the counteroffensive has seen Russian soldiers fleeing the region in any way they can, including disguising themselves as locals. Ukrainian forces have taken more territory in five days than Russia did in five months, according to New Statesman.
"I do not justify anyone, especially do not argue with the fact that many bosses in uniform (I can not call them commanders) deserve to be dismissed in disgrace, and some of them should be shot, and I can even name a few names to decision makers," he wrote on his Telegram channel.

Watu wanao ona mbali au tuseme wenye jicho la tatu wanasema Ukraine itashinda vita ya mtandaoni tu, lakini hizi ndoto za mchana za Zelensky na wapambe wake kudhani wataweze kumshinda kivita Putin hiyo wasahau kabisa - Putin ata counter attack viciously hamtakuja kuamini macho yenu kwa kile kitakacho kuja kulisibu jeshi la Ukraine na Zelensky mweyewe - siku hiyo inakuja.
 
MEDIA zimesema hivi

The speed of the counteroffensive has seen Russian soldiers fleeing the region in any way they can, including disguising themselves as locals. Ukrainian forces have taken more territory in five days than Russia did in five months, according to New Statesman.
"I do not justify anyone, especially do not argue with the fact that many bosses in uniform (I can not call them commanders) deserve to be dismissed in disgrace, and some of them should be shot, and I can even name a few names to decision makers," he wrote on his Telegram channel.
Russia state-media host calls for generals to be executed for allowing retreat from huge swathes of Ukraine
 
Mimi kama askari siwezi kufa kwa ujinga wa putin navua gwanda tupa vifaa vyao navuka boda ulaya kisha navuta familia ya nini kufa kwa faida ya mtu mmoja wakati wao watoto wao wako salama na familia zao.

Mkuu unacho sahau ni kwamba Warusi wenye akili timamamu wanajua mabeberu wanataka kuitumia Ukrain to destroy Russian in totality na wala hii sio siri - sasa unategemea Commander in Chief abweteke tu akisubiri NATO and specifically US ije ika-spring up a surprise attack to Russian Federation - rais gani mwenye akili timamu anaweza kuruhusu nchi jirani kutumiwa na mabeberu kwa lengo la kuihujumu Urusi kiusalama si hilo tu hata kutumika kama spring board ya kuishambulia kijeshi Urusi - Warusi si wajinga hata kidogo -wanajua vizuri jinsi ya kulinda Taifa lao kwa gharama yoyote - watu wengi wasio wasiojua undaki wa suala hili ndio wanamlahumu sana Putin bila ya kuangalia the other side of the coin kwa nini Putin ali-decide to go for a pre emptive strike first.
 
Lakini Ukraine ni nchi HURU.
Wangesubiri kwanza waivamie Urusi kwanza SAsa faida gani wamepata zaidi ya kuaibika
 
Mkuu unacho sahau ni kwamba Warusi wenye akili timamamu wanajua mabeberu wanataka kuitumia Ukrain to destroy Russian in totality na wala hii sio siri - sasa unategemea Commander in Chief abweteke tu akisubiri NATO and specifically US ije ika-spring up a surprise attack to Russian Federation - rais gani mwenye akili timamu anaweza kuruhusu nchi jirani kutumiwa na mabeberu kwa lengo la kuihujumu Urusi kiusalama si hilo tu hata kutumika kama spring board ya kuishambulia kijeshi Urusi - Warusi si wajinga hata kidogo -wanajua vizuri jinsi ya kulinda Taifa lao kwa gharama yoyote - watu wengi wasio wasiojua undaki wa suala hili ndio wanamlahumu sana Putin bila ya kuangalia the other side of the coin kwa nini Putin ali-decide to go for a pre emptive strike first.
Kuidestroi Rusia kwa sababu ipi?

Dunia ina badirika sana, watu wanataka mwingiliano na mataifa mbalimbali sasa hivi kwa ajili ya kujitafutia maisha popote!

Hiyo misimamo ya eti kulinda taifa ilikuwa zamani, unalinda taifa kwa mambo ya muhimu siyo hayo ya kijinga eti kuonesha umwamba wa silaha
Ndio maana sasa hivi hata wale waarabu wenye misimamo mikali ya kidini wataanza kutoweka maana wanaona ni ujinga kufa eti kisa dini
 
Madikteta kadri wanavyokaa muda mrefu madarakani ndio huwa wanazidi kupoteza akili, umakini, wanazidi kuwa paranoid na pia kufanya miscalculations za kizembe zaidi.
Bora putin angetosheka na crimea
 
Walk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"

Haya maneno kwenye wimbo wa Kenny Rogers yananiepusha na mengi sana, nadhani Putin hajasikiliza hili song, mtu mzima anapata aibu.
Katika nyimbo gani za Keny Rogers. Huyu muenga mwenzangu Keny Rogers

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia"

A Russia state-media host has called for the country's generals to be "shot" for having allowed troops to retreat from huge swathes of Ukraine — part of a wider meltdown among President Vladimir Putin's cheerleaders.

Ukrainian forces have successfully regained around 1,250 (2,000 square kilometers) of territory in the country's Kharkiv region over the past few days, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said in his Saturday night address.

Russia's Ministry of Defense has confirmed that its forces were retreating from some areas in the Kharkiv region, the BBC reported.

The speed of the counteroffensive has seen Russian soldiers fleeing the region in any way they can, including disguising themselves as locals. Ukrainian forces have taken more territory in five days than Russia did in five months, according to New Statesman.
"I do not justify anyone, especially do not argue with the fact that many bosses in uniform (I can not call them commanders) deserve to be dismissed in disgrace, and some of them should be shot, and I can even name a few names to decision makers," he wrote on his Telegram channel.
Unaongoza Kwa kuleta habari feki
 
Back
Top Bottom