Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

Kwa akili za kawaida tu unadhani USA mwenyewe yuko tayari Russia aende kuweka military base yake pale Mexico?

Au hujiulizi kwanini Russia ilipotakaga kuweka military base yake nchini Cuba USA ilimkatalia Russia na kumwomba atoe Jeshi lake la sivyo USA ataingia vitani kuiteketeza Cuba?

USA na RUSSIA ni dubu na Simba na hawawezi kuiva chungu kimoja kamwe!

We rudi tu kule kwenye siasa huku tuachie sisi wachambuzi mahiri wa vita za mabeberu ilihali hata silaha zenyewe hatuzijui [emoji28]

Well said, kwa bahati mbaya wachache watakuelewa wengi wamekwisha kalilishwa kumlaani Putin 24X7 huwambii kitu wakakuelewa - mifano uliyo tuletea hapa zina mshiko sana lakini watu wanajifanya vipofu/viziwi buzz word ni Putin tu wengine ni saits by comparison - I salute vyombo vya habari vya magharibi kwa kufanikisha kwa kiasi kikubwa kuwachota akili baadhi ya watu hapa Duniani wengi wana amini kwamba taarifa zao ni Gospel truth!!
 
Back
Top Bottom