Umegeuka ghaflaMarekani asingekubali lazma angekitupa kidude cha little boy [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio rahisi kihivyoMimi kama askari siwezi kufa kwa ujinga wa putin navua gwanda tupa vifaa vyao navuka boda ulaya kisha navuta familia ya nini kufa kwa faida ya mtu mmoja wakati wao watoto wao wako salama na familia zao.
Sio rahisi ukiamuaSio rahisi kihivyo
Unaupiga mwingi mkuuAcha kujisahaulisha...walifanya bila USA?
USA mziki mnene na ni yeye aliyefanya turn around ya kumdondosha hitler
Elewa Russian soldier win the battle BUT USA win the war.
Again soldiers win the battle, But logistics win the war
Sasa chagua unataka to win kipi?
Absolutely!War tacticts back then were different. By then ilikuwa ni USSR.
Now nchi zimeendelea huwez ukaingia kienyeji tu kwenye backyard ya mtu huku akikuangalia tu.
Technology imebadilika na watu wamebadilika. This is not WWII
Kajifunza nini ?Mchina kajifunza kitu
Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia"
A Russia state-media host has called for the country's generals to be "shot" for having allowed troops to retreat from huge swathes of Ukraine — part of a wider meltdown among President Vladimir Putin's cheerleaders.
Ukrainian forces have successfully regained around 1,250 (2,000 square kilometers) of territory in the country's Kharkiv region over the past few days, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said in his Saturday night address.
Russia's Ministry of Defense has confirmed that its forces were retreating from some areas in the Kharkiv region, the BBC reported.
The speed of the counteroffensive has seen Russian soldiers fleeing the region in any way they can, including disguising themselves as locals. Ukrainian forces have taken more territory in five days than Russia did in five months, according to New Statesman.
"I do not justify anyone, especially do not argue with the fact that many bosses in uniform (I can not call them commanders) deserve to be dismissed in disgrace, and some of them should be shot, and I can even name a few names to decision makers," he wrote on his Telegram channel.
Kwa zama hizi, hiki kitakuwa kinyume chakeUrusi anawalia timing wahuni kama waliweza kutoka Moscow had Berlin ndo washindwe ako ka Ukraine ujerumani pamoja na ubabe wake warusi walimega nusu hafu wakajenga ukuta .
MEDIA zimesema hiviWatu wanao ona mbali au tuseme wenye jicho la tatu wanasema Ukraine itashinda vita ya mtandaoni tu, lakini hizi ndoto za mchana za Zelensky na wapambe wake kudhani wataweze kumshinda kivita Putin hiyo wasahau kabisa - Putin ata counter attack viciously hamtakuja kuamini macho yenu kwa kile kitakacho kuja kulisibu jeshi la Ukraine na Zelensky mweyewe - siku hiyo inakuja.
.. Kwa kutumia tume kama ya akina Mahela au Jecha.Wewe Pro NATO wa buza haujui chochote kuhusu uvamizi,ila warusi halisi wanajua ndio maana kipindi cha vita,Putin kukubalika na warusi namba zimekuwa juu!
Kutoivamia TaiwanKajifunza nini ?
Mimi kama askari siwezi kufa kwa ujinga wa putin navua gwanda tupa vifaa vyao navuka boda ulaya kisha navuta familia ya nini kufa kwa faida ya mtu mmoja wakati wao watoto wao wako salama na familia zao.
Lakini Ukraine ni nchi HURU.Mkuu unacho sahau ni kwamba Warusi wenye akili timamamu wanajua mabeberu wanataka kuitumia Ukrain to destroy Russian in totality na wala hii sio siri - sasa unategemea Commander in Chief abweteke tu akisubiri NATO and specifically US ije ika-spring up a surprise attack to Russian Federation - rais gani mwenye akili timamu anaweza kuruhusu nchi jirani kutumiwa na mabeberu kwa lengo la kuihujumu Urusi kiusalama si hilo tu hata kutumika kama spring board ya kuishambulia kijeshi Urusi - Warusi si wajinga hata kidogo -wanajua vizuri jinsi ya kulinda Taifa lao kwa gharama yoyote - watu wengi wasio wasiojua undaki wa suala hili ndio wanamlahumu sana Putin bila ya kuangalia the other side of the coin kwa nini Putin ali-decide to go for a pre emptive strike first.
Kuidestroi Rusia kwa sababu ipi?Mkuu unacho sahau ni kwamba Warusi wenye akili timamamu wanajua mabeberu wanataka kuitumia Ukrain to destroy Russian in totality na wala hii sio siri - sasa unategemea Commander in Chief abweteke tu akisubiri NATO and specifically US ije ika-spring up a surprise attack to Russian Federation - rais gani mwenye akili timamu anaweza kuruhusu nchi jirani kutumiwa na mabeberu kwa lengo la kuihujumu Urusi kiusalama si hilo tu hata kutumika kama spring board ya kuishambulia kijeshi Urusi - Warusi si wajinga hata kidogo -wanajua vizuri jinsi ya kulinda Taifa lao kwa gharama yoyote - watu wengi wasio wasiojua undaki wa suala hili ndio wanamlahumu sana Putin bila ya kuangalia the other side of the coin kwa nini Putin ali-decide to go for a pre emptive strike first.
Bora putin angetosheka na crimea
Katika nyimbo gani za Keny Rogers. Huyu muenga mwenzangu Keny RogersWalk away from trouble if you can
Now it won't mean you're weak if you turn the other cheek
I hope you're old enough to understand
Son, you don't have to fight to be a man"
Haya maneno kwenye wimbo wa Kenny Rogers yananiepusha na mengi sana, nadhani Putin hajasikiliza hili song, mtu mzima anapata aibu.
Unaongoza Kwa kuleta habari fekiHawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia"