Kwa akili za kawaida tu unadhani USA mwenyewe yuko tayari Russia aende kuweka military base yake pale Mexico?
Au hujiulizi kwanini Russia ilipotakaga kuweka military base yake nchini Cuba USA ilimkatalia Russia na kumwomba atoe Jeshi lake la sivyo USA ataingia vitani kuiteketeza Cuba?
USA na RUSSIA ni dubu na Simba na hawawezi kuiva chungu kimoja kamwe!
We rudi tu kule kwenye siasa huku tuachie sisi wachambuzi mahiri wa vita za mabeberu ilihali hata silaha zenyewe hatuzijui [emoji28]