Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda...
Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo, Ukraine wameshajichimbia na wanaendelea kupata jeuri zaidi...

An unidentified flying object was located near a nuclear power plant close to Russia's second city, St. Petersburg, according to new reports.
An alert signal was sounded around the Leningrad nuclear power plant in the Russian town of Sosnovy Bor, local and state media reported on Wednesday. The object was moving at around 200 kilometers per hour (124 miles per hour) at an altitude of approximately 10,000 meters (33,000 feet), Russian sources reported.

The alert triggered a "special response status," a military officer told Russian online newspaper, Lenta.ru. Reserve colonel Andrey Koshkin then suggested to state media there was "nothing unusual here, this is a regular situation."

"It is possible that this is a weather balloon," he added, which could be of "Russian or foreign origin." However, Russian authorities have not yet provided an explanation for the unidentified object.

The object was monitored by the Russian military, state news agency Tass reported.

The unknown object was "moving at the speed of wind," Tass reported on Wednesday, citing an unnamed security source. "This means that it does not have engines, that is, it is not a drone, not an aircraft," the source continued, adding there was "no reason" for the alert signal.

However, "our air defense system is fully ready for action if necessary," the source said, according to state media.

Tass then cited a Russian regional official as dismissing the reports.

Story za kiwaki
 
images.jpeg
 
Putin hawezi hangaika na upuuzi siyo USA Pulizo tu hadi Senate ililijadili likapigwa na kombora la màbilion na akati ingekuwa Russia vijana wa spetsnaz wangepaisha Su35 wangelikojolea na jet fuel kisha wangeliwasha na after burner.
 
Duuuuj,hiyo taharuki unayosema mbona haijaikia aliyopata US baada ya balloon la China kufika US?
Punguza mahaba uchwara!

Sheikh...naona umetaharuki tayari....hehehe
 
Hellow, kwann unajichekesha chekesha na hukimbilia huko kwenye kuwaita watu majina ambayo huna uhakika na imani zao? Kaa chini japo dakika mbili, jievaluate mwenyewe kisha utapata jibu.
 
Hehehe Pole ustadh acha hasira ....mpaka kitaeleweka...
 
Unaifahamu dini yangu au unakimbilia kwenye mgongo wa dini ili uitafute huruma ya watu?

Wacha nikuache maana hapo upo karibu kunilipukia bomu muda wowote.... Huwa hamkawii
 
Back
Top Bottom