Was this a suicide or murder? And Why?

Was this a suicide or murder? And Why?

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,603
Reaction score
1,848
Jamani, mwenye uelewa anidaidie,

Maana hii imekaa KiItelejensia zaidi

IMG-20231211-WA0002.jpg
 
Jamani, mwenye uelewa anidaidie,
Maana hii imekaa KiItelejensia zaidiView attachment 2839255
Nafikiri ni MURDER

Inaonekana alikuwa anaandika kama ujumbe fulani kwa kushinikizwa akiwa ameshikiwa silaha,baada ya hapo akaambiwa turn around na kupiga magoti muuaji akamshoot.

Baada ya kumaliza kazi yake huo mwili unaonekana umewekwa na muuaji akamshikisha silaha pamoja na sigara maana si rahisi kujiua ukaendelea kushika silaha na sigara katika pozi hilo aliloliweka.

Cha kujiuliza kama muuaji alitekeleza mauaji hayo kwanini amuachie silaha mkononi? Hiyo ni silaha ni ya aliyeuliwa au muuaji? Kama ya muuaji kuna possibility alifanya uhalifu sehemu nyingine akaja kuitumia huku? Au kama ni ya aliyeuliwa muuaji aliipata vipi?

Kulikuwa kuna ulazima gani wa taa ya mezani kuchomolewa kwenye soketi? Kiti kilianguka vipi?

hizi picha za hivi nazipendaga sana.
 
Unazunguka sana.
Jibu ni kuwa ameuliwa. Na sababu kubwa ni mkono ulioshika bastola ni wa kulia huku damu zilirukia ukutani kutokea upande wa kushoto.
Swali la kujiuliza kama alijiua huku ameshika bastola mkono wa kulia ilikuwaje damu ionekano kana kwamba ni shambulio lililotokea mkono wa kushoto?
 
Kwa Mazingira Yalivyo Hapo Kwenye Picha Huyo Dada Aliuliwa halafu wakamshikisha bastola ionekane amejiua mwenyewe . Kwanini? Angalia Mkono Ulioshika Bastola ni wa kulia Lakini Kiuhalsia ilitakiwa uwe ni wa kushoto ndio umeshika bastola angalia damu ukutani imerukia upande wa kulia. What a miserable mistake!!
 
Unazunguka sana.
Jibu ni kuwa ameuliwa. Na sababu kubwa ni mkono ulioshika bastola ni wa kulia huku damu zilirukia ukutani kutokea upande wa kushoto.
Swali la kujiuliza kama alijiua huku ameshika bastola mkono wa kulia ilikuwaje damu ionekano kana kwamba ni shambulio lililotokea mkono wa kushoto?
Kwani Mimi nimesema kajiua?
 
Jamani, mwenye uelewa anidaidie,

Maana hii imekaa KiItelejensia zaidi

View attachment 2839255
As Far as My little knowledge of Forensic Medicine (Forensic Science) it May concern huyu Mtu kauliwa it was Murder...

Kwanini?
Lets put out Simple highlits analytical clue za Mtu mwenyewe
  • Position Ya objects suggested that she is Left handed...
    • angalia pen kipindi akiandika hiyo barua iko mkono wa kushoto
    • Angalia Ashes tray ya Sigara iko mkono wa kushoto
    • Angalia possition ya Coca cola can iko mkono wa kushoto..
    • Position ya Light (Reading light) iko kulia hivyo inaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa akiandikia kushoto
    • Na hata mkono alioutumia kuvuta sigara
  • unfortunately inaonekana alilazimishwa kuandika barua cuz taa hiyo haikuwa imewashwa kipindi anaandika barua hiyo so kulikuwa na sources nyingine ya mwanga (That means kulikuwa na mtu mwingine mwenye sources hiyo) angalia Waya wa taa..
  • Though muuaji ni stupid sana kwa sbabu hakuclear scene inaonekana hata kazi haijui.....(ametengeneza tukio liwe kama alikuwa na mawazo ili ionekane kajiua lakini kasahau badala kuweka soda angeweka Bia au hata Coffee ingechukuliwa huyu mtu ana stress so whatever he is has no capacity of clear the scene)
  • If she was Left handed how comes she can able to shoot with right hand? so that evidence suggested that she is not the one who shot..
  • Blood Splash if she was shot herself on the right hand as shown, then We could Be seen the blood splash ikiwa upande wa kushoto..but kwa bahati mbaya kajishuti kwa upande wa kulia na blood splash ziko upande wa kulia This is stupid thing the murder Thought..
  • Kuanguka kwake kama angejishuti upande wa kulia tulitegemea kumuona akianguka kwa upande wa kushoto unless labda kuna magic yoyote ilitokea
 
  • Blood Splashif she was shot herself on the right hand as shown, then We could Be seen the blood splash ikiwa upande wa kushoto..but kwa bahati mbaya kajishuti kwa upande wa kulia na blood splash ziko upande wa kulia This is stupid thing the murder Thought..
If she shot herself.
Mengine yote nakubaliana na wewe
 
Ameuwawa
Ukiangalia hapo alikuwa amekaa kwenye kiti na miwani iko hapo
Aliempiga risasi kamuwekea bastola ionekane kama kajiuwa
 
Back
Top Bottom