William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Na katika charge yako, ulifanya makosa yafuatayo:-
Quote:
The only mistake Kabwe made in his evidence was to refer to the Mining Act, instead of the Income Tax since this clause appears in the Income Tax, and not the Mining Act.
Quote:
Furthermore, he picked on the wrong year of 2001, when the clause was truly repealed, but did not show that it was reinstated in 2002, and has not been repealed thereafter by Parliament.
Ni kweli mkuu hili gazeti limefanya kazi nzuri sana, swali langu ni kwamba hizi technical mistake kwenye charge zako ambazo gazeti hilo la citizen limeyaweka wazi, nini legal ramifications zake as far as sheria za bunge is concerned,
Otherwise, hili soo lilipotokea niliongea na wabunge wengi na hasa wa chama changu ambao walinihakikishia kuwa you were right on the charge, isipokuwa kama hunielewi kwenye swali langu basi nitakuelewa mkuu, na heshima mbele!