Was Zitto Wrong?

Was Zitto Wrong?

Na katika charge yako, ulifanya makosa yafuatayo:-

Quote:
The only mistake Kabwe made in his evidence was to refer to the Mining Act, instead of the Income Tax since this clause appears in the Income Tax, and not the Mining Act.

Quote:
Furthermore, he picked on the wrong year of 2001, when the clause was truly repealed, but did not show that it was reinstated in 2002, and has not been repealed thereafter by Parliament.

Ni kweli mkuu hili gazeti limefanya kazi nzuri sana, swali langu ni kwamba hizi technical mistake kwenye charge zako ambazo gazeti hilo la citizen limeyaweka wazi, nini legal ramifications zake as far as sheria za bunge is concerned,

Otherwise, hili soo lilipotokea niliongea na wabunge wengi na hasa wa chama changu ambao walinihakikishia kuwa you were right on the charge, isipokuwa kama hunielewi kwenye swali langu basi nitakuelewa mkuu, na heshima mbele!
 
Si Una ona Mlipo fikia sasa!! ---Hapa hakuna Income taxi wala VAT.
 
Another blunder! kwani suala la mtu kukosea kurefer income tax act ilikua ni kosa kumwa kiasi hicho kumsimamisha Mp.they must be kidding.Tunataka maelezo ya kutosha.
Wakuu mi naona government wanataka kutumia propagnda nyingi kutufanya tusahau hii ishu.
By the way wana very limited option for now bt wakiitumia vizuri tutawaelewa.
Rais Kikwete ambwage chni Karamagi tu
 
AngloGold tax deal in Tanzania
By Tom Burgis and Barney Jopson

Published: September 30 2007 22:13 | Last updated: September 30 2007 22:13

AngloGold Ashanti is to waive tax breaks and pay levies on its huge gold mine in Tanzania amid a fierce political tussle over the country’s mineral wealth.

The move, which has been hammered out with the government in private but has not yet been officially announced, follows similar renegotiations by Barrick Gold of Canada, the world’s biggest gold miner, and Australia’s Resolute.

“[Ministers] want the sector to contribute a bit more,” Hatibu Senkoro, AngloGold’s country manager, told the Financial Times in an interview. “The government is keen for accelerated payment of corporate tax. Any newcomer is not going to enjoy the same benefits Anglo has.”

Incentives to lure major gold companies into Tanzania’s nascent mining sector over the past decade included capital allowances that defer tax liability until companies’ costs are recouped – a tax holiday that could have lasted up to 20 years. Jakaya Kikwete’s victorious 2005 presidential campaign included a pledge to secure a “fairer” distribution of mineral revenues.

AngloGold, Barrick and Resolute will pay annual levies of $200,000 directly to local authorities on each of their Tanzanian gold mines and pass up a 15 per cent tax allowance on unredeemed capital, hastening the day they will begin to pay the 30 per cent national corporate tax.

The 3 per cent royalty rate will be unchanged. Barrick will also make “voluntary contributions” of $7m a year to the Tanzanian government for five years.

The renegotiated agreement means that AngloGold, which is 42 per cent owned by South African mining giant Anglo-American, estimates that it will start paying corporate tax on its $500m Geita operation – east Africa’s biggest gold mine – by 2011, four years earlier than initially planned, Mr Senkoro said. That date would have come next year, had it not been for a shaft collapse.

It remains to be seen whether the settlements and the companies’ promised community projects will be enough to quell a political storm over a sector that produces about half of Tanzania’s exports but contributes less tax than the country’s biggest brewer.
 
Mr. Zito, you may be very right, in any respect, here you are touching everybody, even us called conservatives "priests" and "shekhs". But your family values may erode all what you are purporting, remember that you are raising big issues but when we hear or read; you have "mzazi mwenza" then the other issue of my late little sister, maybe other stories which we do not know; we can't assimilate, you maybe talking big issues for this beloved nation!
 
IO.. tangu lini Watanzania tukaangalia family issues..? Wazazi wenza wako wangapi na haijawahi kuwa an issue? Katika taifa lenye kutambua ndoa za kidini, na za jadi mambo ya familia siyo makubwa hivyo. Hivi JK watoto wake wote ni wa ndoa inayojulikana? Je watoto wote wa JM ni wa ndoa inayojulikana? Tusianze kutumia kipimo kimoja kwa Zitto na kingine kwa wengine. Tukitaka kuanza kuzungumzia masuala ya ndoa, Nazir Karamagi amekuwaje Waziri mzito na suala zima la mke na ndoa ya mtu linavyohusika? Tusiyalete haya kwa maana yanatupoteza kwenye masuala muhimu. Unless of course:

Inahusu masuala ya kihalifu au jinai. Kama mzazi mwenza wa Zitto ni underage au alibakwa then hiyo ni issue, lakini mengine ni kutaka kutupoteza ili tusizungumzie jinsi gani Zitto alikuwa sahihi na badala yake mnataka tumjadili Zitto alilala kitanda gani, shuka alilolalia na godoro kama lilikuwa la spring au la mbao! Yote ni sehemu ya mapambano ya kifikra na kwa hakika tutashinda!
 
Mr. Zito, you may be very right, in any respect, here you are touching everybody, even us called conservatives "priests" and "shekhs". But your family values may erode all what you are purporting, remember that you are raising big issues but when we hear or read; you have "mzazi mwenza" then the other issue of my late little sister, maybe other stories which we do not know; we can't assimilate, you maybe talking big issues for this beloved nation!

Sasa mbona hamjitangazi vizuri muozeni mabinti zenu sisi JF tutachangisha limousine.

AngloGold tax deal in Tanzania
By Tom Burgis and Barney Jopson

Published: September 30 2007 22:13 | Last updated: September 30 2007 22:13

AngloGold Ashanti is to waive tax breaks and pay levies on its huge gold mine in Tanzania amid a fierce political tussle over the country’s mineral wealth.

The move, which has been hammered out with the government in private but has not yet been officially announced, follows similar renegotiations by Barrick Gold of Canada, the world’s biggest gold miner, and Australia’s Resolute.

“[Ministers] want the sector to contribute a bit more,” Hatibu Senkoro, AngloGold’s country manager, told the Financial Times in an interview. “The government is keen for accelerated payment of corporate tax. Any newcomer is not going to enjoy the same benefits Anglo has.”

Incentives to lure major gold companies into Tanzania’s nascent mining sector over the past decade included capital allowances that defer tax liability until companies’ costs are recouped – a tax holiday that could have lasted up to 20 years. Jakaya Kikwete’s victorious 2005 presidential campaign included a pledge to secure a “fairer” distribution of mineral revenues.

AngloGold, Barrick and Resolute will pay annual levies of $200,000 directly to local authorities on each of their Tanzanian gold mines and pass up a 15 per cent tax allowance on unredeemed capital, hastening the day they will begin to pay the 30 per cent national corporate tax.

The 3 per cent royalty rate will be unchanged. Barrick will also make “voluntary contributions” of $7m a year to the Tanzanian government for five years.

The renegotiated agreement means that AngloGold, which is 42 per cent owned by South African mining giant Anglo-American, estimates that it will start paying corporate tax on its $500m Geita operation – east Africa’s biggest gold mine – by 2011, four years earlier than initially planned, Mr Senkoro said. That date would have come next year, had it not been for a shaft collapse.

It remains to be seen whether the settlements and the companies’ promised community projects will be enough to quell a political storm over a sector that produces about half of Tanzania’s exports but contributes less tax than the country’s biggest brewer.

Nonsense and stupid hebu ona wanavyotutukana ati voluntary contribution. Mimi sielewi kabisa huyu JK na serikali yake wanatuonaje sisi WTZ? Hivi kule Nigeria ambako kila uchwao wanauawa hawayaoni haya? Na hii ni danganya toto kubwa ati waanze kutoa hiyo kodi 2011. Wanataka kuitumia hii sababu kwenye uchaguzi wa 2010.

Hivi unatoa dollar hizo laki mbili kwa kijiji kwa maendeleo hatuzitaki wanatakiwa walipe bei ya ardhi wanayoitumia kwa sababu sio ya kwao. Mfano mzuri tuliambiwa wanaokodisha nyumba Dar kwa dollar 2000 kwa mwezi sasa hawa wanakodi ardhi tena yenye mali chini wanalipa hizo pipi?

Mimi naona WTZ inabidi sasa tusimame kidedea kujitetea kwa sababu viongozi wetu wametusaliti na wako upande wa mafisadi wanaowapa peremende ndio kisa cha kuweka mikataba ambayo haina kichwa. Tufanye kila linalowezekana shughuli za uchimbaji wa madini zisitishwe hadi hapo muafaka utakapopatikana, hatuwezi kuendelea kuburuzwa kama watoto wadogo wakati wao na matumbo yao wanaendelea kutanua. Hii ni mali na rasilimali ambayo tunadhulumiwa halafu wanjitia ati kutusaidia. WHAT A JOKE?
 
AngloGold tax deal in Tanzania
By Tom Burgis and Barney Jopson

Published: September 30 2007 22:13 | Last updated: September 30 2007 22:13

Incentives to lure major gold companies into Tanzania’s nascent mining sector over the past decade included capital allowances that defer tax liability until companies’ costs are recouped – a tax holiday that could have lasted up to 20 years. The 3 per cent royalty rate will be unchanged. Barrick will also make “voluntary contributions” of $7m a year to the Tanzanian government for five years.

It remains to be seen whether the settlements and the companies’ promised community projects will be enough to quell a political storm over a sector that produces about half of Tanzania’s exports but contributes less tax than the country’s biggest brewer.

.....nasikia kichwa kinazunguka maana nina uhakika mtu na akili yake hwezi ingia deal ya kipumbavu kama hii...yaani Tax holiday for 20 yrs n& and what is this voluntary contribution ******* zao hawa wezi na anayesema wapinzani ni punguani angalieni kelele zao sasa zt least zimewashtua hata owners wa hiyo migodi maana hata wao wameona its too much kuiba kiasi hiki....what a bunch of incompetent BS kwa hawa viongozi wetu...so sad!
 
Hoja ikiwa ya kipumbavu, halafu ikapigiwa debe na watu wenye akili, wakitarajia watu kuikubali bila kuuliza hata ukiimbia nyimbo hoja hiyo haiuziki!!

Mkuu MMJ,

Heshima mbele kwa hii quote, maana inajibu almost maswali mengi sana kwenye hii ishu!
 
Anzisha kule kwenye mada ya mapenzi or something, watu wanajadili vitu muhimu...mambo ya Mchumba ake fulani ni nani yanahusiana vipi ni income tax? Wakati mwingine tumia njia nyingine kubadili mjadala.

MwanaKijiji,

Siku hizi msemaji wa Zitto, Jamaa ana haki,,, sehemu anayompatia mwakilishi wa wananchi ndiko anapiga swali... naomba uache hio kazi ambayo natumaini hujapewa!
 
Dua, ndio maana naona kuna watu wanataka kubadili mada badala ya kuangalia uzito wa hoja inayoendelea hapa. Hivi kweli kumpa mtu hiari ya kulipa kodi au fedha fulani ni akili hiyo. Kwanini wasiweke sheria ambayo michango ya makampuni iandane na uzalishaji au faida. Kwa mfano wakisema kila mwaka kampuni ya madini itatoa asilimia tano ya faida baada ya makato kwenye mfuko wa uendelezaji makazi na miundo mbinu. Ina maana kama kampuni baada ya makato yote inapata faida ya Dola milioni 20, basi wanalipa kwenye mfuko wa makazi na miundo mbinu dola milioni moja (pamoja na malipo ya kodi nyingine). Huu usiwe mfuko wa hiari, ina maana wakitengeneza faida zaidi na mfuko wote unapata zaidi wakipunguza na sisi inapungua hivyo tunaposema win-win situation ndio hiyo maana yake. Sasa hivi kwa mkataba wa Buzwagi ukiondoa makato mengine yote utakuta kuwa serikali inapata kama dola laki tano na kitu tu. Kwa vile kisheria malipo hayo yamewekwa yasiandane na uzalishaji au faida basi tunapata kile tutakachopewa.
 
...they're taking hundrelds of millions every yr and give you a 7m$ as a voluntary contribution for 5 yrs,yani breweries wanaingizia pesa serikali kuliko hiyo migodi? its hard to believe na nimeamini umaskini tatizo ni pale Ikulu hakuna sehemu nyingine....dont forget NO TAX FOR 20 YRS.
 
Nilikua sijui Kama Zitto ni mwenzetu Humu Kwenye Jumba letu La Jambo F...Usiache
Mi Mina penda Kuku ambia Zitto Jambo moja ...
Naona Kama Una Jizolea Umaarufu Peke yako Bala Kuhusisha Maisha yako asilia...Ni-vizuri Ukimtambulisha Mchumba wako!!au Mke wako..

Ni vizuri Kufanya hivyo mapema!!Ili tuende Tukijua Maisha yako vizuri..Hata Tutakapo kuchagua Kama Raisi Tuwe tunajua Mambo Hayo..mapema!! sio kama viongozi wetu wa CCM- Hata hawafahamiki vizuri!!-Kazi kujua walizalia na watu wa kawaida hapa Duniani.

Jitahidi sana kuikosoa Serikari- Na siasa yako ni Kukosoa serikari..Mpinzani simama hivyo hivyo- lakini usije Ukakosea hata siku moja Uka isifia serikari...

If you have nothing important to say, it is always better to keep quiet.
 
MwanaKijiji,

Siku hizi msemaji wa Zitto, Jamaa ana haki,,, sehemu anayompatia mwakilishi wa wananchi ndiko anapiga swali... naomba uache hio kazi ambayo natumaini hujapewa!

Hakuna mahali ambapo nimekuwa msemaji wa mtu yeyote, ila suala la kumtetea Zitto au mtu yeyote mwingine kwa mashambulizi yasiyo na msingi nimejipa mimi mwenyewe na kwa furaha ninafanya hivyo! Katika mapambano haya ya kifikra mbinu nyingi zitatumika ili kutuvuruga na hasa kuwashusha viongozi hawa wa mapambano ya ardhini. Kwenye hoja ya msingi watatakiwa kujibu lakini mambo ya kitandani ni cheap shots na hilo nitaliweka wazi. Kama kuna mtu ana hoja ya kile Zitto alisema au alifanya kama Mbunge au kushindwa kufanya hiyo ni hoja!

Ukiangalia sijagusa swali la mzee mwenzangu FMES kwa sababu ni swali au hoja ambayo ilihitaji maelezo toka kwa Zitto na ni msingi wa kile tunachozungumza hapa.

while we are still on that, ni nani aliyekuweka wewe kuwa msemaji wa Gigo?
 
Hakuna mahali ambapo nimekuwa msemaji wa mtu yeyote, ila suala la kumtetea Zitto au mtu yeyote mwingine kwa mashambulizi yasiyo na msingi nimejipa mimi mwenyewe na kwa furaha ninafanya hivyo! Katika mapambano haya ya kifikra mbinu nyingi zitatumika ili kutuvuruga na hasa kuwashusha viongozi hawa wa mapambano ya ardhini. Kwenye hoja ya msingi watatakiwa kujibu lakini mambo ya kitandani ni cheap shots na hilo nitaliweka wazi. Kama kuna mtu ana hoja ya kile Zitto alisema au alifanya kama Mbunge au kushindwa kufanya hiyo ni hoja!

Sasa nakushauri akiulizwa swali Mwanasiasa kama Zitto, Mtikila, Dr. Slaa, Muhudhir, Kapuya, Guninita etc... hawa ni watu tofauti na wengine, hawa wanasimama wenyewe, hawa ni wawakilishi wa wananchi,,, na wewe kwa sasa unajiwakilisha mwenyewe,,, naomba uachie wenyewe wajibu tafadhali,,, kama ni Ubalozi Zitto Akiwa Rais utapata kwa hiyo tulia tu, kazi yako ya kuitetea CHADEMA na Viongozi wake inaonekana lazima utapata TAKRIMA tu,

Yetu macho,
 
na wewe mwanakijiji una maana gani unaposema ni mapambano ya kifikra huku gold yetu ikiporwa usiku na mchana kwa kutumia hizo bogus contract zilizosainiwa na mafisadi ...punguza siasa na wewe.
 
Sasa nakushauri akiulizwa swali Mwanasiasa kama Zitto, Mtikila, Dr. Slaa, Muhudhir, Kapuya, Guninita etc... hawa ni watu tofauti na wengine, hawa wanasimama wenyewe, hawa ni wawakilishi wa wananchi,,, na wewe kwa sasa unajiwakilisha mwenyewe,,, naomba uachie wenyewe wajibu tafadhali,,, kama ni Ubalozi Zitto Akiwa Rais utapata kwa hiyo tulia tu, kazi yako ya kuitetea CHADEMA na Viongozi wake inaonekana lazima utapata TAKRIMA tu,

Yetu macho,

...wewe nani wa kumwambia mtu cha kuongea au kutoongea na hayo mambo ya ubalozi ndio majungu tunaita,unaonekana kazi yako ni kupigia vigelegele mafisadi na kuishia kupewa wali na mchuzi wa kuku bila hata mnofu
 
Koba, ni mapambano ya kifikra kwa sababu kabla hatujaweza kubadili mfumo wa uongozi na kuhakikisha hawapori maliasili yetu ni lazima tuhakikishe kuwa wanajua kuwa tunajua wanapora na hakuna watakachosema kinachoweza kubadili mawazo hayo. Majibu ya serikali na majaribio ya serikali kujibu madai haya dhidi yao ni katika kuhakikisha kuwa watanzania wanawaamini na hivyo kutuliza fikra zao! Tunapotaka utawala wa sheria, usawa mbele ya sheria, uwazi na uhuru wa maoni tunapambana na vitu kama sheria ya usalama wa taifa, ya magazeti na mambo ya State Security. Hizi zote ni fikra.

Wanapotishia kuwa atakayekutwa na mkataba huu au aliyeusambaza anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria wanajaribu kutishia fikra huru! Sasa kabla hujaweza kusimama kuwashtaki ni lazima ushinde mioyo ya wananchi kwa kuwapa fikra zenye nguzu zaidi na nzito zaidi kuliko fikra za woga!

Kilitime, uzuri wa mambo ni kuwa ukiuliza swali ambalo linaonekana lengo lake ni kutibua mjadala sijali nani anauliza, nani anaulizwa au nini kinaulizwa nitajaribu kukuweka sawa kwa hoja. Kama huwezi joto la jiko, kwanini uko jikoni?

Ndiyo maana haya yanaitwa mapambano ya kifikra (ideological battle).
 
...wewe nani wa kumwambia mtu cha kuongea au kutoongea na hayo mambo ya ubalozi ndio majungu tunaita,unaonekana kazi yako ni kupigia vigelegele mafisadi na kuishia kupewa wali na mchuzi wa kuku bila hata mnofu

Du! kwa maneno yako, Pale Bongo tunasema na maneno ya mipasho,,, maneno ya taarabu, rusha roho, nilidhani wanaofahamu bendi za taaribu tu, kumbe hata wewe umo mkuu, heshima kwako!
 
Back
Top Bottom