Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.

nyaubanguchiro

New Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
1
Reaction score
12
WASABATO MNAIJUA HII KWAYA?
Katika uzi huu nakuletea sifa za kwaya mbalimbali, na wewe dondosha sifa ya kwaya unayoifahamu, mimi naanza na kwaya ya wasabato inaitwa LAITBERAZ, Kwaya hii inapatikana Tegeta, Dar es Salaam, sifa kubwa ya kwaya hii ni kwamba wanajua kuimba, inajitegemea katika uendeshaji wake kwa kuumtegemea mfadhili wao aitwaye Waziri Barnabas, waimbaji wa kwaya hii wamepangiwa hostel yaani nyumba nzima, wavulana wamepangiwa Bunju, wasichana wamepangiwa huko Tegeta wazo eneo moja linaitwa Benten. Kwaya hii inamiliki studio pale Tegeta inaitwa Jcb studioz na wana magari yao. Huwa wanasafiri sana ndani na nje ya nchi. Waimbaji wake wanatoka mikoa mbalimbali

Pamoja na sifa nzuri ya uimbaji lakini kwaya hii inanishangaza vitu vifuatavyo:

  1. Kwaya haijasajiriwa popote, sio kanisani wala basata, ipoipo tu

  1. Waimbaji wengi wa kwaya hii hawana kazi/ hawana ajira na wengi wao ni vijana wadogo wanaochukuliwa kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wengi wao wanapochukuliwa huko mikoani hurubuniwa kwamba watakuja kutafutiwa kazi au kusomeshwa, wakifika Dar huishia kuwekwa hostel kama mifugo,wazazi wao huko mikoani wanajua watoto wao wapo Dar wanafanya kazi au kusomeshwa, wengi wao wamekuwa tegemezi , kila kitu wanamtegemea huyo Don wao waziri Barnabas ambaye yeye anachojali ni maslahi yake tu kwenye uimbaji na si future ya vijana anaowatumia kwenye uimbaji. Future ya vijana wengi imeyumba kwasababu ya kumtegemea yeye tu, hawana uhuru wa kujitafutia maisha, wale wanaojaribu kujitafutia wamekuwa wakionekana wabaya, na wakati mwingine wanafukuzwa bila utaratibu, wengi wao hawajitambui kwakweli

  1. Kashfa ya ngono imetawala ndani ya kwaya hii ya Laitberaz, mwalimu wao raia wa Uganda amekuwa akiwageuza waimbaji wa kike kama vyombo vyake vya starehe, wapo waliofikia hatua ya kupigana wakimgombania yeye, mtaani pia ana kesi za kutembea na wanawake za watu, sina hakika kama mwalimu huyo ana vibali halali vya kufanya kazi hapa Tanzania, kashfa ya ngono ndani ya kwaya hii itaiharibia jina lake, too much, maana inaelezwa kuwa hata huyo mfadhili wao pia amekuwa akiwatumia waimbaji wa kike kwa maslahi yake pia, kama wasipobadilika katika hili ipo siku tutasikia mambo ya ajabu

  1. Waimbaji wake wanakimbilia huko ulaya kutafuta maisha baada ya kuona hakuna cha maana wanachokipata zaidi ya kutumika kwa maslahi ya waziri barnabas na huyo mganda wake, huyo mganda ana miaka mingi hapa Tanzania lakini hakai na mke wake, mke na watoto wapo huko Uganda, yeye anakula maisha na watoto wa kitanzania,

  1. Waimbaji wengi wa kwaya hii wana maringo, wanajiona wameyapatia maisha wakati wengi wao hawana kazi, wapowapo tu, kazi yao kubwa ni kuomba hela tu kwa mfadhili wao kama watoto wadogo wasiojua kujitafutia maisha, wanapotezewa muda wao bure tu, hawana future, tukikutana nao huku mtaani wengine wamekuwa kama mazezeta, hawajui kufanya kazi, hawajui kujituma. Wanavalishwa, wanalishwa, na kulipiwa kodi ya nyumba lakini kazi hawana, vijana hao wasiposhtuka itakula kwao

  1. Huyo mfadhili wao hajui kufanya kazi na watu wa maana, kiburi chake cha fedha kinamdanganya kwamba anaweza kufanya chochote, hali hiyo imemfanya awapoteze vijana na watu wazuri ambao wangeweza kumsaidia katika kuweka mambo sawa, tatizo lake kubwa ni kwamba huwa anaona wote wanaomfanyia kazi zake wanapaswa kujitolea tu, waimbaji wajitolee bila kuwafikiria kuwa wana wazazi wao, ndugu zao, wadogo zao wanaowategemea, nasikia wanapoenda safari huwa wanalipwa 10,000 au 20,000 tu ya kula njiani, watoto wa watu wanatumika hata mwezi mzima huko mikoani na vijijini lakini wanavumilia kwasababu wengi wao hawana cha kufanya.
  2. Mimi ni mmoja wa waathirika wa vitendo vya viongozi wa hii kwaya, ni wanyonyaji, wanaharibu future za vijana wa kisabato, ushahidi nitauleta hapa







 
Vizuri kwa kufichua maovu, hasa hasa ya kanisa zima la Wasabato, kanisa hilo ni la kukimbiwa, hiyo kwaya naifananisha na Golden Gate ya Uganda, waimbaji wake walikuwa wanatombana sana hadi wote wakafa kwa Ukimwi wa enzi hizo.
Huwa inashangaza sana mtu kukashifu kabila Zima, dini yote, majina ya aina flani yote sababu tu una mifano ya watu wachache waliokupitia au unaowafahamu kwenye maisha yako.
 
Hajui hata kuandika kazi umbea tu..wanaitwa Light bearers!wanaimba vzr sana sana
Hapo sawa, asante mama
Nilitaka nishangae kwa nini hilo jina sio familiar
Anyway "Sifa kwa Bwana na "pokea sifa"ni vibao vinavyonibariki.
 
Kuna binti mmoja namkubali sana kwenye hiyo kwaya, connection tafadhali.
 
Mkuu hautaki watu wamwimbie Mungu?? Una ushahidi Wa hayo Malalamiko yako?
 
Acha Mungu awahukumu mwenyewe watumishi wake.
Kama unachosema ni kweli,basi itakuwa ni huyu mfadhili wao,ameamua kufanya vita na Mungu maksudi.Kwani kweli kama ana hela si angeenda bongo muvi tu!Mbona bongo muvi kuna vyombo sana kule?Kwa nini akanajisi wale waliojitoa kwa Kazi ya kumtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo?

Mwisho,uwe na tahadhari ndugu usije ukawa unazungumza kwa hisia kuliko uhalisia.Utajiletea mkosi tu
 
mkuu walikupiga chini kwenye kuingia kwaya nini....
 
Mkuu hautaki watu wamwimbie Mungu?? Una ushahidi Wa hayo Malalamiko yako?

Mpaka amesema means anajua anachosema me mwenyewe nimeshamuona yule mwalimu anakula mzigo kwenye Noah yake mwana kwaya mmoja anakaa Makongo juu bonge mweupe
 
Hajui hata kuandika kazi umbea tu..wanaitwa Light bearers!wanaimba vzr sana sana

Kwani yy kaongea kuhusu uimbaji wao? Yy ameongelea swala zima la Yanayofanyika na Maybe yamemkuta
 
Aya zote hizo ni 1 1 1 huo uandishi wako tu upo kikuda zaidi
Usifuate mambo yao
Fuata wanachoimba (wanachohubiri) tu
Hakuna mkamilifu duniani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom