Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Aya zote hizo ni 1 1 1 huo uandishi wako tu upo kikuda zaidi
Usifuate mambo yao
Fuata wanachoimba (wanachohubiri) tu
Hakuna mkamilifu duniani.

Haya maneno yako ni mazuri sana kama hayaja kukuta
 
Bila shaka utakuwa ulihitaji kujiunga na hicho kikundi ikashindikana sasa kwa hasira umekuja kuwachafua huku. Pole sana ila jitahidi kuyafanyia kazi yale mapungufu waliyokuambia ili ikitokea nafasi ukajaribu tena

Huu ni uzi wa 5 ambao unahusisha na hiyo kwaya so lazima kutakuwa na kitu sio jambo la kupuuza
 
inaonekana wew ni msabato
1 je umetumia Mathayo 18? kama hujatumia basi ni umbeya
2. kama umeshindwa matahyo 18 unajua viongozi wa conference hadi union je umewahi kuwatembeklea na kuyatoa haya?
otherwise ni kusengenya na gossip!! Tafakari chukua hatua
 
Kupigana miti kwa Hilo dhehebu Ni Jambo la kawaida Sana. kuanzia kwenye kwaya mpaka kwenye makambi. uchafu mtupu. Nachochea kuni huenda anachokisema mtoa mada kina ukweli Ila ameshindwa kuweka ushahidi.
 
Mkuu mleta maada kwenye hiyo kwaya kuna madem wakali nikajiunge?
 
inaonekana wew ni msabato
1 je umetumia Mathayo 18? kama hujatumia basi ni umbeya
2. kama umeshindwa matahyo 18 unajua viongozi wa conference hadi union je umewahi kuwatembeklea na kuyatoa haya?
otherwise ni kusengenya na gossip!! Tafakari chukua hatua

Possible na wewe ni msabato wa Mwenge, so chukua haya malalamiko ya tu peleka kwa shemasi wenu Coz ni aibu
 
[*]Mimi ni mmoja wa waathirika wa vitendo vya viongozi wa hii kwaya, ni wanyonyaji, wanaharibu future za vijana wa kisabato, ushahidi nitauleta hapa
[/LIST]

Pole kwa kuwa mwathirika wa kadhia hiyo, na hiki ndo hasa kimekutoa povu sio hizo porojo zingine.... eti unaumia hawafanyi kazi hawana future huku ‘wanakuringia’ mtaani...!!
 
Pole kwa kuwa mwathirika wa kadhia hiyo, na hiki ndo hasa kimekutoa povu sio hizo porojo zingine.... eti unaumia hawafanyi kazi hawana future huku ‘wanakuringia’ mtaani...!!

Fanyia kazi hoja zake
 
Ngoja nikwambie kitu boss.

Hakuna mtu hata mmoja anaeshurutishwa kuingia kwa hii choir kwahiyo wanaoingia pale ni watu wazima na wenye akili zao.

Waliopo pale wanaona kuna maslahi thuswhy wapo mpaka Leo hawajakimbia (nasikiaga wanalipwa).

Kudinyana, Mimi naona sehemu yoyote ambayo hukutana mwanaume na mwanamke lazima tu wapigane kazi either makanisani,ofsini,hospital,shuleni. Namaanisha Kua wakusanyikapo boys and girls sehemu yoyote hile hata kama ni msibani lazima kuwepo na sexual interest.
pia hao ni watu wazima karibia wote wamevuka miaka 20 so kudinyana ni tamaa zao za kimwili tu.

Ukitaka kuoa oa msabato haswaa utojuta.

Opondo ja shirati.
 
Possible na ww ni msabato wa mwenge, so chukua haya malalamiko ya tu peleka kwa shemasi wenu Coz ni aibu
huyo aliyeleta ndiye mwenye data mtu mwingine yeyote akilibeba juu juu itakuwa uzushi hana evidence
 
opondo,
Opondo umenikumbusha neno, obwerenyong'ong'ming'ong'ewang', maana yake ni like Soko pale Obwere. Jaribu kulitamka kama utaweza.
 
inaonekana wew ni msabato
1 je umetumia Mathayo 18? kama hujatumia basi ni umbeya
2. kama umeshindwa matahyo 18 unajua viongozi wa conference hadi union je umewahi kuwatembeklea na kuyatoa haya?
otherwise ni kusengenya na gossip!! Tafakari chukua hatua
Mkuu

Hiyo Mathayo 18 kama ni Sura ungetusaidia na aya/msitari kabisa ili tufaidi ujumbe ulioulenga tuupate.
 
Mkuu

Hiyo Mathayo 18 kama ni Sura ungetusaidia na aya/msitari kabisa ili tufaidi ujumbe ulioulenga tuupate.
mkuu katika Biblia Kitabu cha kwanza kabisa cha agano jipya ni Mathayo nenda sura ya 18
anza hapa ( 15 - 22)

15 Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.
16 La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.
17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.
18 Amin, nawaambieni, yo yote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yo yote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
19 Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
21 Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
22 Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.
 
Point iliyokupa hasira hadi ukaamua kuleta uzi ni hiyo ya jamaa kutembea na waimbaji wa kike au huko mitaani mnapoishi. Kuna kila dalili ya mgongano wa kimaslahi hasa ya mambo ya mahusiano ya kimapenzi

Ni vyema basi ungemtuhumu au hata kumuhukumu kabisaa huyo mwalimu wao kuliko kuikashifu kwaya nzima!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom