Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Ni Light Bearers na siyo Laitberaz
 
Mkuu mbona sioni hili jina la kwaya youtube??
Nilitaka nione uzuri wa hii kwaya kwanza manake ni muumini mzuri wa nyimbo za kisabato.
Cheki Lightbeares na si hilo jina la awali
 
Kugongana kwenye kwaya ni kitu cha kawaida kabisa.
Usinikumbushe ndugu. Kuna kwaya ya kanisani moja, nusu iliangamia kwa ukimwi kwenye miaka ya mwanzoni ya 2000, akiwemo jamaa yangu. Hakuna sehemu wanagongana wenyewe kwa wenyewe kama kwenye hizi kwaya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…