Wasabato leteni ushahidi kimaandiko kuthibitisha Nabii Ellen G White alipokea kutoka kwa Mungu njozi na ndoto 2,000 ndani ya miaka 70 ya uhai wake?!

Nje na wasabato kama wewe ni mkristo kama mimi hapa naomba ushahidi kuwa mbinguni hatuoa wala kuolewa
mbinguni hakutakuwa na jua wala mwezi.Lete ushahidi usio na shaka juu ya mambo hayo mawili tu kati ya mengi.

NB:Unaushahidi gani kuwa dhambi zako husamehewa kila unapotubu?
 
Ukifa biashara imeisha.,..hakuna kufufuliwa Tena au kwenda sijui wapi...hizo hadidhi za dini NI kupunguza uovu duniani.,.
 
Mtanange wa wagalatia. nawachek kwa mbali, karibuni kwenye dini ya haki.
 
Hii haina tofauti na yule Mohamed wa waislamu aliyekurupuka na kuanzisha uislamu unaopindisha maandiko ya dini zilizokuwepo. Sasa huyu Msabato naye pia amepindisha mengi.
 
Nje na wasabato kama wewe ni mkristo kama mimi hapa naomba ushahidi kuwa mbinguni hatuoa wala kuolewa
mbinguni hakutakuwa na jua wala mwezi.Lete ushahidi usio na shaka juu ya mambo hayo mawili tu kati ya mengi.

NB:Unaushahidi gani kuwa dhambi zako husamehewa kila unapotubu?
Hata asipokujibu hilo lako, bado hiyo haimaanishi kuwa la Wasabato litakuwa limejibiwa
 
Hakuna mwenye uwezo wa kutoa ushahidi wa kuthibitisha manabii walitoa njozi zao kwa Mungu zaidi sisi hua tuna amini tu
 
maranathaaa mazeee...wasabatoo watamu jamaniii dahhh...miaka ya nyuma nlikuaga mwalimu wa kwayaa
 
Back
Top Bottom