Wachungaji wengi wamejigeuza kuwa kuwa washauri wa mahusiano kwa mitazamo yao wakitumia vibaya mistari kuhalalisha mawazo yao potofu, hii imeleta shida kwenye ndoa nyingi.
Kumekuwa na skendo nyingi za wachungaji kuwatongoza na kutoka kimapenzi na waumini wao hasa makanisa ya kilokole ambayo mtu yeyote bila kujali elimu wala tabia anaweza kuanzisha kanisa, zipo connection zilizovuja na matukio kadhaa ya wachungaji kuwajaza wake za watu mimba na uwezekano mkubwa wa baadhi ya wanaume kulea watoto wa wachungaji bila kujua.
kumekuwa na malalamiko mengi, wake za watu kusikiliza na kuwatii wachungaji kuzidi waume zao. Mwanamke ni rahisi sana kumrubuni kwenye imani lakini wachungaji wamekosa hekima kujali kwamba ni wake za watu.
wachungaji kwa kujua udhaifu wa kiimani kwa wanawake wamejigeuza kuwa miungu watu, kuna wanawake wengi huwaabudu wachungaji kuzidi Mwenyezi Mungu, wanawake wamekuwa wakidanganywa kirahisi sana kwa miujiza feki na shuhuda za uongo, kwao mchungaji akiomba chochote hakuna hapana kila kitu ni ndio.
Ukija kwa upande wa kanisa la Roman Catholic wanajitahidi sana kuepukana na hayo mambo,
Wasabato nawaweka nafasi ya pili