Wasabato na Wakatoliki wanajitahidi sana kutoingilia maisha za wake za watu na ndoa

Wasabato na Wakatoliki wanajitahidi sana kutoingilia maisha za wake za watu na ndoa

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Wachungaji wengi wamejigeuza kuwa kuwa washauri wa mahusiano kwa mitazamo yao wakitumia vibaya mistari kuhalalisha mawazo yao potofu, hii imeleta shida kwenye ndoa nyingi.

Kumekuwa na skendo nyingi za wachungaji kuwatongoza na kutoka kimapenzi na waumini wao hasa makanisa ya kilokole ambayo mtu yeyote bila kujali elimu wala tabia anaweza kuanzisha kanisa, zipo connection zilizovuja na matukio kadhaa ya wachungaji kuwajaza wake za watu mimba na uwezekano mkubwa wa baadhi ya wanaume kulea watoto wa wachungaji bila kujua.

kumekuwa na malalamiko mengi, wake za watu kusikiliza na kuwatii wachungaji kuzidi waume zao. Mwanamke ni rahisi sana kumrubuni kwenye imani lakini wachungaji wamekosa hekima kujali kwamba ni wake za watu.

wachungaji kwa kujua udhaifu wa kiimani kwa wanawake wamejigeuza kuwa miungu watu, kuna wanawake wengi huwaabudu wachungaji kuzidi Mwenyezi Mungu, wanawake wamekuwa wakidanganywa kirahisi sana kwa miujiza feki na shuhuda za uongo, kwao mchungaji akiomba chochote hakuna hapana kila kitu ni ndio.

Ukija kwa upande wa kanisa la Roman Catholic wanajitahidi sana kuepukana na hayo mambo,

Wasabato nawaweka nafasi ya pili
 
Wakati nikiwa mchungaji,nimelala na wanawake wazuri karibu kanisa zima,sio mabinti mashangazi wala wake za watu,ni kutwanga na kupepeta, sasa nishaokoka na Mungu anisamehe
 
Kwani ndoa ni ya jamii au watu wawili? Mkeo akilambwa kaamua kijana, kanisa halihusiki na tena kaamua kulambwa na ntu mmoja at a time! No generalization, ukioa kahaba atapigwa hata hapo mtaani au ndani kwako na bodaboda, houseboy, fundi, muuza mkaa au wavuta bangi wa mtaa sio lazima aende kwa uliowataja! Period
 
Na mwanamke akiingia maisha hayo humwambii kitu.

Yaani neno akiambiwa na mchungaji hata mumewe haezi kupinga
 
Utatoa wapi mwanamke asiyeshika dini Tanzania hii?

Ndo burudani yao kama sisi wanaume tunavyoangalia mpira.

Wanatuchanganya sana hawa watu mara usitafute nke online FB, JF, Insta nenda kanisani kuna wife materials mara leo eti waumini nao shida, mwisho watatuambia ukitaka nke chukua udongo muumbe mwenyewe unavyotaka, dah! Bongo bahati mbaya yani...
 
Makanisa siku hizi yamekuwa chanzo kikubwa sana kugeuza wanawake kuwa kama mali za kanisa na hata kuingilia mambo ya ndoa yanayopelekea ndoa nyingi kuharibika.

Tukianza na makanisa mengi ya kilokole yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ndoa za watu kuharibika, wachungaji wengi hata elimu hawana, mtu yeyote blila kujali historia na tabia zake anaweza kufungua kanisa, hakuna sheria zilizo juu yao kwenye makanisa yao, wao hujiona kila kitu, hapa kusikia mchungaji kajaza mimba wake za watu ni kawaida sana na tumeshaona connection zilizovuja za wachungaji maarufu wakilala na waumini wao.

KKKT nao wametanguliza sana maslahi siku hizi hadi kupelekea kanisa kuingia kwenye migogoro na kugawanyika, ibada kuna muda zinageuka kuwa mafundisho ya ndoa na anaefundisha anaongea zaidi kitu anachofikiria yeye hivyo kuna baadhi ya vitu vimekuwa chanzo cha ku compromiz wake za watu

Ukija kwa upande wa kanisa la Roman Catholic wanajitahidi sana kutoingilia mambo ya ndoa,

Wasabato nawaweka nafasi ya pili
Tatizo lipo kwako kuamini kwamba kila linaloitwa kanisa ni kanisa. Wana macho lakini hawaoni
 
Na mwanamke akiingia maisha hayo humwambii kitu.

Yaani neno akiambiwa na mchungaji hata mumewe haezi kupinga
Hapo ndipo napowapa sifa wakatoliki na wasabato kwa mbali, wanajua wanawake ni dhaifu sana kwenye mambo ya imani hivyo wanatumia hekimo kubwa kuweka mipaka kuanzia mafundisho, ushauri, n.k.
 
Kwani ndoa ni ya jamii au watu wawili? Mkeo akilambwa kaamua kijana, kanisa halihusiki na tena kaamua kulambwa na ntu mmoja at a time! No generalization, ukioa kahaba atapigwa hata hapo mtaani au ndani kwako na bodaboda, houseboy, fundi, muuza mkaa au wavuta bangi wa mtaa sio lazima aende kwa uliowataja! Period
Ishu sio ngono tu, zipo pande nyingi ambazo hayo makanisa yanaleta shida kwenye ndoa za watu. Mfano walokole wanawake wana tabia ya kuwasikiliza na kuwatii zaidi wachungaji kuliko waume zao.
 
Ishu sio ngono tu, zipo pande nyingi ambazo hayo makanisa yanaleta shida kwenye ndoa za watu. Mfano walokole wanawake wana tabia ya kuwasikiliza na kuwatii zaidi wachungaji kuliko waume zao.
wewe ndio umeelewa sasa
 
Ishu sio ngono tu, zipo pande nyingi ambazo hayo makanisa yanaleta shida kwenye ndoa za watu. Mfano walokole wanawake wana tabia ya kuwasikiliza na kuwatii zaidi wachungaji kuliko waume zao.

Kama ni mwanamke anatii wachungaji, kosa la kanisa ni nini? Mwanamke anayetii viongozi wa kanisa atawatii bodaboda, waalimu wake, mateja majirani, wapangaji wenzake, marafiki wa mumewe etc, bado sijaona mantiki ya kulaumu kanisa kama taasisi badala ya mwanamke muhusika. By the way una statistics zinazoonyesha ratio ya hao mnaosema wanatii na wasiotii au ni general tu kwamba wanawake "wote" wanatii wachungaji wao kuliko waume zao??

Hebu jazia nyama hoja yako ipate nguvu!
 
Makanisa yanawafanyia brain programming kuwa hivyo.
 
Wakati nikiwa mchungaji,nimelala na wanawake wazuri karibu kanisa zima,sio mabinti mashangazi wala wake za watu,ni kutwanga na kupepeta, sasa nishaokoka na Mungu anisamehe
Wakati ukiwa mchungaji?
 
Wanatuchanganya sana hawa watu mara usitafute nke online FB, JF, Insta nenda kanisani kuna wife materials mara leo eti waumini nao shida, mwisho watatuambia ukitaka nke chukua udongo muumbe mwenyewe unavyotaka, dah! Bongo bahati mbaya yani...
Siku hizi kila mtu anajifanya ana IQ kubwa, sio aliyefeli masomoni wala nani, litakalokuja kichwani ananlianzishia uzi kisa kaliona mtaani kwao🙌🏾

Nimesoma shule za kisabato mchungaji anatembea na wanafunzi wa primary mpaka kafukuzwa, binafsi mchungaji alishanitongoza sana bila aibu na kipindi hicho nasoma o level! Imagine nmeshuhudia na nimekuwa victim ila sijawahi kuwaza kama huyu muanzisha uzi! Matukio yapo kila kona ya insitution hata kama ni hospitalini! Hizo mambo z akujitia wazimu eti walokole sjui nini, na Hapo hajatongozwa yeye sijui ingekuwaje🤦🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom