Kama una mchumba anasali kanisa linaweza kuwa shida kwenye ndoa yenu, jitafakari kabla hujaoaKipi kifanyike
Asante kwa taarifaKama una mchumba anasali kanisa linaweza kuwa shida kwenye ndoa yenu, jitafakari kabla hujaoa
Utatoa wapi mwanamke asiyeshika dini Tanzania hii?Kama una mchumba anasali kanisa linaweza kuwa shida kwenye ndoa yenu, jitafakari kabla hujaoa
Utatoa wapi mwanamke asiyeshika dini Tanzania hii?
Ndo burudani yao kama sisi wanaume tunavyoangalia mpira.
Tatizo lipo kwako kuamini kwamba kila linaloitwa kanisa ni kanisa. Wana macho lakini hawaoniMakanisa siku hizi yamekuwa chanzo kikubwa sana kugeuza wanawake kuwa kama mali za kanisa na hata kuingilia mambo ya ndoa yanayopelekea ndoa nyingi kuharibika.
Tukianza na makanisa mengi ya kilokole yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ndoa za watu kuharibika, wachungaji wengi hata elimu hawana, mtu yeyote blila kujali historia na tabia zake anaweza kufungua kanisa, hakuna sheria zilizo juu yao kwenye makanisa yao, wao hujiona kila kitu, hapa kusikia mchungaji kajaza mimba wake za watu ni kawaida sana na tumeshaona connection zilizovuja za wachungaji maarufu wakilala na waumini wao.
KKKT nao wametanguliza sana maslahi siku hizi hadi kupelekea kanisa kuingia kwenye migogoro na kugawanyika, ibada kuna muda zinageuka kuwa mafundisho ya ndoa na anaefundisha anaongea zaidi kitu anachofikiria yeye hivyo kuna baadhi ya vitu vimekuwa chanzo cha ku compromiz wake za watu
Ukija kwa upande wa kanisa la Roman Catholic wanajitahidi sana kutoingilia mambo ya ndoa,
Wasabato nawaweka nafasi ya pili
Hapo ndipo napowapa sifa wakatoliki na wasabato kwa mbali, wanajua wanawake ni dhaifu sana kwenye mambo ya imani hivyo wanatumia hekimo kubwa kuweka mipaka kuanzia mafundisho, ushauri, n.k.Na mwanamke akiingia maisha hayo humwambii kitu.
Yaani neno akiambiwa na mchungaji hata mumewe haezi kupinga
Ishu sio ngono tu, zipo pande nyingi ambazo hayo makanisa yanaleta shida kwenye ndoa za watu. Mfano walokole wanawake wana tabia ya kuwasikiliza na kuwatii zaidi wachungaji kuliko waume zao.Kwani ndoa ni ya jamii au watu wawili? Mkeo akilambwa kaamua kijana, kanisa halihusiki na tena kaamua kulambwa na ntu mmoja at a time! No generalization, ukioa kahaba atapigwa hata hapo mtaani au ndani kwako na bodaboda, houseboy, fundi, muuza mkaa au wavuta bangi wa mtaa sio lazima aende kwa uliowataja! Period
wewe ndio umeelewa sasaIshu sio ngono tu, zipo pande nyingi ambazo hayo makanisa yanaleta shida kwenye ndoa za watu. Mfano walokole wanawake wana tabia ya kuwasikiliza na kuwatii zaidi wachungaji kuliko waume zao.
Ishu sio ngono tu, zipo pande nyingi ambazo hayo makanisa yanaleta shida kwenye ndoa za watu. Mfano walokole wanawake wana tabia ya kuwasikiliza na kuwatii zaidi wachungaji kuliko waume zao.
Makanisa yanawafanyia brain programming kuwa hivyo.Kama ni mwanamke anatii wachungaji, kosa la kanisa ni nini? Mwanamke anayetii viongozi wa kanisa atawatii bodaboda, waalimu wake, mateja majirani, wapangaji wenzake, marafiki wa mumewe etc, bado sijaona mantiki ya kulaumu kanisa kama taasisi badala ya mwanamke muhusika. By the way una statistics zinazoonyesha ratio ya hao mnaosema wanatii na wasiotii au ni general tu kwamba wanawake "wote" wanatii wachungaji wao kuliko waume zao??
Hebu jazia nyama hoja yako ipate nguvu!
Wakati ukiwa mchungaji?Wakati nikiwa mchungaji,nimelala na wanawake wazuri karibu kanisa zima,sio mabinti mashangazi wala wake za watu,ni kutwanga na kupepeta, sasa nishaokoka na Mungu anisamehe
Siku hizi kila mtu anajifanya ana IQ kubwa, sio aliyefeli masomoni wala nani, litakalokuja kichwani ananlianzishia uzi kisa kaliona mtaani kwao🙌🏾Wanatuchanganya sana hawa watu mara usitafute nke online FB, JF, Insta nenda kanisani kuna wife materials mara leo eti waumini nao shida, mwisho watatuambia ukitaka nke chukua udongo muumbe mwenyewe unavyotaka, dah! Bongo bahati mbaya yani...