capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti
Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio.
Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na NYAYO ZA MATUMAINI. Napenda masomo haya na mpangilio wa hotuba hizi sababu hugusa changamoto za kimaisha, kimazingira, kijamii, kiuchumi na nyingine nyingi tunazo kumbana nazo kila siku.
Katika mafundisho hayo tunajifunza kuhusu AFYA, FAMILIA na Mafundisho ya kiroho yanayokusudia kuboresha mahusiano yetu sisi na Muumbaji wetu.
Pr. Semba anafundisha somo kuu.
Pr. Peter anafundish familia na mahusiano
Dr. Kilonzo yeye anafundisha Afya.
Hii ni summery ya siku zilizopita.
Siku ya kwanza:
Somo la afya muda 19:23 muda katika video
Somo la familia muda 43:47 muda katika video
Somo kuu- Muda 1:08:26 katika video.
Siku ya pili:
1:19:06 - Muda somo la Afya linaanza katika video
1:41:40 Muda somo la familia linaanza katika video.
Somo kuu- Muda 1:08:03 katika video.
Mwisho, nawakaribisha wote tujifunze neno la Mungu pamoja. Ahsante