Wasabato tumekuja tena!!

capitalpool

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
22,363
Reaction score
121,260
Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti
Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio.

Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na NYAYO ZA MATUMAINI. Napenda masomo haya na mpangilio wa hotuba hizi sababu hugusa changamoto za kimaisha, kimazingira, kijamii, kiuchumi na nyingine nyingi tunazo kumbana nazo kila siku.

Katika mafundisho hayo tunajifunza kuhusu AFYA, FAMILIA na Mafundisho ya kiroho yanayokusudia kuboresha mahusiano yetu sisi na Muumbaji wetu.

Pr. Semba anafundisha somo kuu.

Pr. Peter anafundish familia na mahusiano

Dr. Kilonzo yeye anafundisha Afya.

Hii ni summery ya siku zilizopita.

Siku ya kwanza:

Somo la afya muda 19:23 muda katika video

Somo la familia muda 43:47 muda katika video

Somo kuu- Muda 1:08:26 katika video.

Siku ya pili:

1:19:06 - Muda somo la Afya linaanza katika video

1:41:40 Muda somo la familia linaanza katika video.

Somo kuu- Muda 1:08:03 katika video.

Mwisho, nawakaribisha wote tujifunze neno la Mungu pamoja. Ahsante
 
Katika vituko vya mafinzo ya afya utasikia sasa tunamkatibisha dokta afundishe somo.la afya

Atakayesimama kufundisha unakuta hajawahi kanyaga hata chuo cha afya akapata cheti hata cha kugawa dawa anaitwa dokta na wasabato
 
Hujui unachozungumza.
 
Yehoyadaya hamchoki tu kupotosha watu,mpaka huku upo!So unataka kuaminisha wapumbavu kwamba mifumo ya elimu your "handlers" waliyoibuni ndio sahihi?Sio kweli,mifumo wa elimu iliyopo ambayo umebuniwa na the NWO Cabal a.k.a Khazarian Mafios, ni mifumo wenye nia ovu ya enslavement and domination.Ofcourse siwatetei Wasabato,nao wana mapungufu yao,lakini katika madhehebu yote,SDA is the best.Nikiambiwa nichague out of the two evils,madhebu mengine na Wasabato,nitachagua Wasabato.
 
Nyie ni wakristo, waislamu au wayahudi?
 
T
Katika vituko vya mafinzo ya afya utasikia sasa tunamkatibisha dokta afundishe somo.la afya

Atakayesimama kufundisha unakuta hajawahi kanyaga hata chuo cha afya akapata cheti hata cha kugawa dawa anaitwa dokta na wasabato
Tufanye ni kweli je maudhi yanakataa ama yanaendana na wataalam??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…