Wasabato tumekuja tena!!

Nyie ni wakristo, waislamu au wayahudi?
SDA- Seventh Day Adventist ni dhehebu la ki-kristo linalotarajia ujio wa pili wa Yesu Kristo na tunafanya ibada rasmi siku ya J.mosi, sabato kama ilivyo amriwa na Mungu mwenyewe.

Ukitaka kujua zaidi endelea kufuatilia mafundisho haya utajua mengi kutuhusu.
 
Kwa hiyo Waisraeli ni wenzenu au si wenzenu?
 
Ni waislam na wayahudi zaidi kuliko wakristo
 
Wasabato wengi wako smart kweli .Nguo zinanyooshwa,shati zinapasiwa kweli kweli .Mnafundishwaga huko makanisani kwenu? Mkianza mafundisho ya kitabu cha Daniel nimoo.
 
Sabato bila vitabu vya Hellen White hakuna dini ya Sabato
Ni kweli upo sahihi , tatizo la wasabato wa sa hv wamekuwa wahuni wahuni wenye kutetea uovu , kujifanya wa mjini na injili za kisanii , ili kupata zaka na sadaka .... Ni ukweli Imani na dini ya kiadventista imejengwa kwenye msingi wa vitabu vilivyoandikwa na huyu Mama ( wanaita Roho ya unabii )

Mimi nimesoma vitabu vyake vingi tuu , ni vitabu vyenye nguvu mno katika mambo ya kiroho na vinafafanua biblia Kwa uzuri kabisa

Mchungaji semba anajitahd Sana kuisemea kweli , tatizo amezungukwa na kundi la wachungaji wengi wao wasaniii na wabembelezaji wa maovu
 

Mikutano iko vizuri [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…