Wasabato wanachofanya Mapadre kwenye sala ya kitubio ni kwa mujibu wa Biblia, sawa na kazi ya ukuhani anayoifanya Yesu hekaluni mbinguni muda huu.

Wasabato wanachofanya Mapadre kwenye sala ya kitubio ni kwa mujibu wa Biblia, sawa na kazi ya ukuhani anayoifanya Yesu hekaluni mbinguni muda huu.

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia

Sabato njema

Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.
Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa. Yohana 20:21 1
 
Back
Top Bottom