Pre GE2025 Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya ccm kufa hizi media zote na wasanii kadhaa nao watakwisha
 
Baada ya ccm kufa hizi media zote na wasanii kadhaa nao watakwisha
Naona dom kuna watoto watatafunwa sana 😄
Nasikia gesti Lodge Hotel zote ziko full

Ova
 

Attachments

  • VID-20250117-WA0020.mp4
    3.3 MB
Ongezea na hii video kwenye uzi

View: https://vm.tiktok.com/ZMkuAtmX6/
 
Na nyie si mna matambala yenu kina Jambo media na wengine kwani hatuwajui?
 
Hivi hii video imekuwaje mbona naona manyani yamevalishwa nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…