Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya ccm kufa hizi media zote na wasanii kadhaa nao watakwishaWakuu,
Hawa watu hata matambara ya kudekia hatoshi kuelezea upumbavu huu wanafanya na hizo poda zilizojaa kwenye vichwa vyao, maana matambara yanasaidia kufanya usafi vizuri na kuhakikisha sehemu inakuwa safi kuliko hawa wapuunzi ambao wapo hapo kwaajili ya kula matapishi na chochote wanachotupiwa!
Tunategemea hawa wakiona kitu cha kukemewa watafanya hivyo kwa nguvu zote kwa maslahi ya umma? Hii ni zaidi ya fedheha kwa waandishi wa habari ambao kweli wanafanya kazi zao kwa weledi.